Vyombo vya Dola vichimbue kwa kina muelekeo wa CHADEMA kutumia waliokuwa Maafisa wa Jeshi katika shughuli zake, naona wana nia ovu kwa usalama wa nchi

Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.

Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa Cha nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.

Sheria ya vyama vya siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua kali sana.

Kama nia hivyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini
Nenda makampuni ya ulinzi utakuta hata Major wa JW wameajiriwa humo.
 
Chadema wanataka kuwatumia kwa nia ovu ya Ugaidi na kuunda Jeshi la uasi
CHADEMA walikuwa na vikosi vyao bya walinzi wa Chama km CCM imavyowatumia UVCCM lkn Serikali ikapiga marufuku. Akashambuliwa Tundu Lissu, Akwilina, Mbowe akavunjwa mguu na vijana wasiojulikana wakampa na ukumbe.

Kwanini wasiwatafute walinzi binafsi hata kutoka CCM na Jeshi lake lkn waaminifu. Jua hata yote ni Sa7ya aliposhambulia msafara wa Tundu Lissu alipopita Hai na Polisi walikuwepo.

Magu hakutaka siasa alijua ni adui wa tonge lake la maisha
 
Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.

Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa Cha nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.

Sheria ya vyama vya siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua kali sana.

Kama nia hivyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini
Mtu mjinga tu ndio anaweza kuwa na hofu kama ya kwako maana hao wanajeshi wastaafu wanatumika kila mahali kwenye taasisi mbalimbali za watu binafsi.

Chadema sio taasisi pekee inayowatumia hao wanajeshi.

Mbona hauhoji kuhusu ccm kutumia watu wasio raia kuumiza raia wa nchi hii? Sasa nimejua kwa nini Magufuli aliwanunua sana wapinzani na kuwatumia ktk uongozi...yaani wanacham wengi wa ccm ni hamnazo kabisa kichwani.
 
Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.

Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa Cha nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.

Sheria ya vyama vya siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua kali sana.

Kama nia hivyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini
Kila la kheri wakijani, ingawaje wote waliotafuta kuifuta CHADEMA wamekuwa wakiishia pabaya/pagumu akiwemo malaika wa Burigi.

Wenzenu tuko busy na kutafuta KATIBA BORA ili kuwakomboa waTz kifikra na kujenga misingi imara ya kuleta uhuru, haki na maendeleo ya kweli.
 
Kwa hiyo unataka kusema jeshi letu - akina Mabeyo na wenzie - wana mwelekeo mbaya kwa nchi? Kwa hiyo waepukwe na Watanzania?
Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.

Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa Cha nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.

Sheria ya vyama vya siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua kali sana.

Kama nia hivyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini
 
Zelothe Stephen,Kanali Mwakibinga,Kanali Kinana na wengineo wapo Chama gani kwani?
Kwani Hawa wanamlinda Hangaya? Au walitumwa kumdhuru Mbowe?

Usilinganishe Hilo gaidi lenu na Hawa uliowataja.
 
Hiii maada ya kitaahira Sana hata Mimi kuchangia kama Kwa kuweka comment yangu hivi najiona ni juha
 
Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.

Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa Cha nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.

Sheria ya vyama vya siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua kali sana.

Kama nia hivyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini
Hapa dola ndio ijichunguze kwanza kushindwa kuhakikisha usalama wa raia wake kiasi Cha kuona hawako salama.
 
Tatizo wewe nilinafiki . awamu ya tano ulikua unaipinga serikali ya Magu. We we either ni mdini au mkabila
Jamaa ni mnafiki na ni mdini hatari hajui asimame wapi kiujumla ni kama kamsemo ( ki-ru-ka- njia
 
Nenda makampuni ya ulinzi utakuta hata Major wa JW wameajiriwa humo.
Kuna sheria inayowaruhusu na wametambulika kisheria.

Na huko ndio kina mbowe walipaswa kwenda kuomba ulinzi wa VIP protection.

Sio kukusanya Makomandoo waliofukuzwa jeshini kwa utovu wa nidhamu.

Tena unawapa majukumu kinyemela tu.
 
Poleni,
Inavyoonekana, karibu mtapeleka marekebisho ya sheria ili nyie WAKIJANI ndio muwe mnaanda wajeshi wastaafu kwa ajili ya VIP protection kwa wote.
 
Back
Top Bottom