Nigrastratatract nerve unakunywa wine gani boss.
K2a kweli
Lucas mwashambwa na
ChoiceVariable wamekua kero kwa kusifia na kuabudu kusiko na mipaka.
Hata huku kupanda kwa nauli na Bei ya sukari, kukatika kwa umeme Mara kwa Mara wanaona Ni powa tu.
Sasa hivi wahaya tulio Dar Bukoba tutakua tunaisikia kwenye redio.
Watu tumepata hasara za mamilioni kwenye biashara ya kutotolesha vifaranga. Unaweza vifaranga kwenye mashine siku ya kumi na nane umeme unakatika bila taarifa, by the time unarudi vifaranga vimekufa.
Yaani ukiona MTU anasifia.........