Vyombo vya dola viwachukulie hatua kali sana matapeli wanaojifanya chawa kwa kumshushia hadhi yake Rais

Kama una ugumu wowote wa maisha nakushauri pitia ofisi yoyote ya CCM iliyo karibu yako au ofisi za serikali ya mtaa wako, tukusikilize shida zako.

Kuna mipango mingi sana ya serikali ya kupunguza ugumu wa maisha ya Watanzania lakini inaonesha kuna baadhi yenu hamuifahamu.

Kuna mipango mpaka ya kuzalisha mamilionea Tanzania, unaifahamu?
Acha kuimba mapambio kama kasuku bibi,........Kama World Bank kwenye ripoti yao wanasema uchumi wa Tanzania siyo jumuishi, unatengeneza kundi kubwa la watu walionasa kwenye mnyororo wa umaskini 'a large segment of population trapped in a vicious cycle of poverty' unaelewa uzito wa hiyo sentensi?

Maana yake hii nchi inaenda kwenye mwelekeo wa kuwa na raia wengi walio topea kwenye lindi la ufukara ambao hawawezi kumudu yale mahitaji ya msingi kabisa.....chakula, mavazi, malazi. Ni aibu kubwa kwa nchi kama Tanzania kuwa kwenye nchi zinazoburuza mkia kwa wananchi wake kuwa na hali duni za kimaisha.......endeleeni kuimba mapambio na kutengeneza magenge ya ulaji.​
 
Serikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na mafisadi na kuamua kuleta uongo wa kiwango cha Hali ya juu kwa Hali inavyoendelea? kwani nani hajui kuwa Kuna matatizo lukuki yanayoikumba nchi yetu tena yasipodhibitiwa mapema yatasababisha changamoto kubwa ya kiuchumi kwa mfano

kukatikakatika ovyo ovyo kwa umeme Tanzania imekuw kawaida kwa sababu umeme ni nishati muhimu na ya lazima inayohitajika mahospitlini, viwandani na kwenye shughuli kama kutotolesha mayai kwa kutumia incubator nk

shughuli nyingi za kiuchumi zimeathiriwa Sana na kukatika katika hovyo kwa umeme hii Hali imearhiri mzunguko wa fedha na kuua uchumi jumuishi

kupanda kwa nishati ya mafuta ya aina zote kumefanya multiplying effect ya kupandisha kila aina ya bidhaaa serikali ingetoka hadharani kuelezea mchakato mzima wa uagizwaji na usambazwaji wa mafuta kwani mchakato mzima umegubukwa na usiri wa Hali ya juu nina uhakika serikali ingekuwa serious ilitakiwa kuregulate bei ya mafuta kuw chini ya 2500 ikiwezekana kutoa baadhi ya kodi na kuleta subsidies

serikali iachane na hawa mercenaries keyboard wanaosifia ujinga bali ipambane na uhalisia kuwa imesababisha ugumu wa Hali ya juu Sana kwa watanzania kwa mfano ukopaji holela unachagizwa na Rushwa iliyotamalaki kila pahala kila kinachokopwa hakifanyi kazi tarajiwa kinapigwa juujuu yaaani ufisadi na wizi wa kutisha

Hussein Bashe aachane Mara moja na project anayofanya kwani hii project ya BBT haina manufaa kabisa bali umekuwa mchongo wa kuwanufaisha walewale wenye uwezo yeye atengeneze mfumo kwa mfano kupunguza bei za pembejeo na kurudisha somo la kilomo mashuleni na pia serikali isamehe kodi vifaa vya kilimo kama matrekta water pumps ili watu wengi zaidi washawishike kwenye kilimo ahakikishe Banking system zinaanzisha kwa kasi matawi yake kwenye mashamba zitengeneze miundombinu ya umwagilialiaji yaaani strategic irrigation schemes kila wilaya na zikopeshe wakulima maji na pembejeo na utengenezwe mfumo wa mpaka soko na mazao yanayolimwa yauzike ili mkulima awe na uhakika wa soko na kuvuna na Bank zitatengeneza automated system ya kukata mikopo yao juu kwa juu
We hata ungepewa kijiji kwa mawazo hayo usingeweza kuiongoza. Tulia pambana na hali yako serikali iko right truck! Tuna imani na serikali yetu tukufu ya Dr. Samia Suluhu Hassan
 
Mbona husemi kina kimsboy na wajinga wengine wazushi na wapotoshaji km yeye wasikamatwe. Uhuru wa mawazo ila uishie pale haki ya mwenzio inakoanzia.
 
😆😆😆Ati vyombo vya Dola..." 🤣🤣🤣🤣😂😂😂
 
Serikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas Mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na mafisadi na kuamua kuleta uongo wa kiwango cha Hali ya juu kwa Hali inavyoendelea? kwani nani hajui kuwa Kuna matatizo lukuki yanayoikumba nchi yetu tena yasipodhibitiwa mapema yatasababisha changamoto kubwa ya kiuchumi kwa mfano
kukatikakatika ovyo ovyo kwa umeme Tanzania imekuw kawaida kwa sababu umeme ni nishati muhimu na ya lazima inayohitajika mahospitlini, viwandani na kwenye shughuli kama kutotolesha mayai kwa kutumia incubator nk

Shughuli nyingi za kiuchumi zimeathiriwa Sana na kukatika katika hovyo kwa umeme hii Hali imearhiri mzunguko wa fedha na kuua uchumi jumuishi

Kupanda kwa nishati ya mafuta ya aina zote kumefanya multiplying effect ya kupandisha kila aina ya bidhaaa serikali ingetoka hadharani kuelezea mchakato mzima wa uagizwaji na usambazwaji wa mafuta kwani mchakato mzima umegubukwa na usiri wa Hali ya juu nina uhakika serikali ingekuwa serious ilitakiwa kuregulate bei ya mafuta kuw chini ya 2500 ikiwezekana kutoa baadhi ya kodi na kuleta subsidies

Serikali iachane na hawa mercenaries keyboard wanaosifia ujinga bali ipambane na uhalisia kuwa imesababisha ugumu wa Hali ya juu Sana kwa watanzania kwa mfano ukopaji holela unachagizwa na Rushwa iliyotamalaki kila pahala kila kinachokopwa hakifanyi kazi tarajiwa kinapigwa juujuu yaaani ufisadi na wizi wa kutisha

Hussein Bashe aachane Mara moja na project anayofanya kwani hii project ya BBT haina manufaa kabisa bali umekuwa mchongo wa kuwanufaisha walewale wenye uwezo yeye atengeneze mfumo kwa mfano kupunguza bei za pembejeo na kurudisha somo la kilomo mashuleni na pia serikali isamehe kodi vifaa vya kilimo kama matrekta water pumps ili watu wengi zaidi washawishike kwenye kilimo ahakikishe Banking system zinaanzisha kwa kasi matawi yake kwenye mashamba zitengeneze miundombinu ya umwagilialiaji yaaani strategic irrigation schemes kila wilaya na zikopeshe wakulima maji na pembejeo na utengenezwe mfumo wa mpaka soko na mazao yanayolimwa yauzike ili mkulima awe na uhakika wa soko na kuvuna na Bank zitatengeneza automated system ya kukata mikopo yao juu kwa juu
Asnt Sana bro, Tanzania ikiwa na raia million 20 wa hivi basi ukombozi upo 2025
 
Nigrastratatract nerve unakunywa wine gani boss.
K2a kweli
Lucas mwashambwa na
ChoiceVariable wamekua kero kwa kusifia na kuabudu kusiko na mipaka.
Hata huku kupanda kwa nauli na Bei ya sukari, kukatika kwa umeme Mara kwa Mara wanaona Ni powa tu.
Sasa hivi wahaya tulio Dar Bukoba tutakua tunaisikia kwenye redio.
Watu tumepata hasara za mamilioni kwenye biashara ya kutotolesha vifaranga. Unaweza vifaranga kwenye mashine siku ya kumi na nane umeme unakatika bila taarifa, by the time unarudi vifaranga vimekufa.
Yaani ukiona MTU anasifia.........
 
Mhaya uache kujenga uchumi wa Bukoba itoke kwenye umaskini wewe unawaza kwenda Dar.

Ningekuwa Rais ningewapiga marufuku kusafiri Dar,mnakimbia kwenu mnaenda kuuza k Dar pumbavu sana.
 
Back
Top Bottom