Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Umenichekesha kinoma Daaah eti robotsHawa chawa hizo nguvu za kupiga vigelegele kila siku bila kuchoka sijui huwa wanazitoa wapi, au ni robots?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mwambie huyo jamaako kwamba sisi wengine tumehama viwango vya kuganga njaa.Umenichekesha kinoma Daaah eti robots
Vipi kijana! Amekuwa jamaa yangu tena? Mimi nipo na Mama Samia Suluhu Hassan tafadhali sana usinivunjie heshimaMwambie huyo jamaako kwamba sisi wengine tumehama viwango vya kuganga njaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa no ugomvi kati ya chawa wa magufuli na chawa wa Samia
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Kama una ugumu wowote wa maisha nakushauri pitia ofisi yoyote ya CCM iliyo karibu yako au ofisi za serikali ya mtaa wako, tukusikilize shida zako.
Kuna mipango mingi sana ya serikali ya kupunguza ugumu wa maisha ya Watanzania lakini inaonesha kuna baadhi yenu hamuifahamu.
Kuna mipango mpaka ya kuzalisha mamilionea Tanzania, unaifahamu?
We hata ungepewa kijiji kwa mawazo hayo usingeweza kuiongoza. Tulia pambana na hali yako serikali iko right truck! Tuna imani na serikali yetu tukufu ya Dr. Samia Suluhu HassanSerikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na mafisadi na kuamua kuleta uongo wa kiwango cha Hali ya juu kwa Hali inavyoendelea? kwani nani hajui kuwa Kuna matatizo lukuki yanayoikumba nchi yetu tena yasipodhibitiwa mapema yatasababisha changamoto kubwa ya kiuchumi kwa mfano
kukatikakatika ovyo ovyo kwa umeme Tanzania imekuw kawaida kwa sababu umeme ni nishati muhimu na ya lazima inayohitajika mahospitlini, viwandani na kwenye shughuli kama kutotolesha mayai kwa kutumia incubator nk
shughuli nyingi za kiuchumi zimeathiriwa Sana na kukatika katika hovyo kwa umeme hii Hali imearhiri mzunguko wa fedha na kuua uchumi jumuishi
kupanda kwa nishati ya mafuta ya aina zote kumefanya multiplying effect ya kupandisha kila aina ya bidhaaa serikali ingetoka hadharani kuelezea mchakato mzima wa uagizwaji na usambazwaji wa mafuta kwani mchakato mzima umegubukwa na usiri wa Hali ya juu nina uhakika serikali ingekuwa serious ilitakiwa kuregulate bei ya mafuta kuw chini ya 2500 ikiwezekana kutoa baadhi ya kodi na kuleta subsidies
serikali iachane na hawa mercenaries keyboard wanaosifia ujinga bali ipambane na uhalisia kuwa imesababisha ugumu wa Hali ya juu Sana kwa watanzania kwa mfano ukopaji holela unachagizwa na Rushwa iliyotamalaki kila pahala kila kinachokopwa hakifanyi kazi tarajiwa kinapigwa juujuu yaaani ufisadi na wizi wa kutisha
Hussein Bashe aachane Mara moja na project anayofanya kwani hii project ya BBT haina manufaa kabisa bali umekuwa mchongo wa kuwanufaisha walewale wenye uwezo yeye atengeneze mfumo kwa mfano kupunguza bei za pembejeo na kurudisha somo la kilomo mashuleni na pia serikali isamehe kodi vifaa vya kilimo kama matrekta water pumps ili watu wengi zaidi washawishike kwenye kilimo ahakikishe Banking system zinaanzisha kwa kasi matawi yake kwenye mashamba zitengeneze miundombinu ya umwagilialiaji yaaani strategic irrigation schemes kila wilaya na zikopeshe wakulima maji na pembejeo na utengenezwe mfumo wa mpaka soko na mazao yanayolimwa yauzike ili mkulima awe na uhakika wa soko na kuvuna na Bank zitatengeneza automated system ya kukata mikopo yao juu kwa juu
Mbona husemi kina kimsboy na wajinga wengine wazushi na wapotoshaji km yeye wasikamatwe. Uhuru wa mawazo ila uishie pale haki ya mwenzio inakoanzia.Serikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na mafisadi na kuamua kuleta uongo wa kiwango cha Hali ya juu kwa Hali inavyoendelea? kwani nani hajui kuwa Kuna matatizo lukuki yanayoikumba nchi yetu tena yasipodhibitiwa mapema yatasababisha changamoto kubwa ya kiuchumi kwa mfano
kukatikakatika ovyo ovyo kwa umeme Tanzania imekuw kawaida kwa sababu umeme ni nishati muhimu na ya lazima inayohitajika mahospitlini, viwandani na kwenye shughuli kama kutotolesha mayai kwa kutumia incubator nk
shughuli nyingi za kiuchumi zimeathiriwa Sana na kukatika katika hovyo kwa umeme hii Hali imearhiri mzunguko wa fedha na kuua uchumi jumuishi
kupanda kwa nishati ya mafuta ya aina zote kumefanya multiplying effect ya kupandisha kila aina ya bidhaaa serikali ingetoka hadharani kuelezea mchakato mzima wa uagizwaji na usambazwaji wa mafuta kwani mchakato mzima umegubukwa na usiri wa Hali ya juu nina uhakika serikali ingekuwa serious ilitakiwa kuregulate bei ya mafuta kuw chini ya 2500 ikiwezekana kutoa baadhi ya kodi na kuleta subsidies
serikali iachane na hawa mercenaries keyboard wanaosifia ujinga bali ipambane na uhalisia kuwa imesababisha ugumu wa Hali ya juu Sana kwa watanzania kwa mfano ukopaji holela unachagizwa na Rushwa iliyotamalaki kila pahala kila kinachokopwa hakifanyi kazi tarajiwa kinapigwa juujuu yaaani ufisadi na wizi wa kutisha
Hussein Bashe aachane Mara moja na project anayofanya kwani hii project ya BBT haina manufaa kabisa bali umekuwa mchongo wa kuwanufaisha walewale wenye uwezo yeye atengeneze mfumo kwa mfano kupunguza bei za pembejeo na kurudisha somo la kilomo mashuleni na pia serikali isamehe kodi vifaa vya kilimo kama matrekta water pumps ili watu wengi zaidi washawishike kwenye kilimo ahakikishe Banking system zinaanzisha kwa kasi matawi yake kwenye mashamba zitengeneze miundombinu ya umwagilialiaji yaaani strategic irrigation schemes kila wilaya na zikopeshe wakulima maji na pembejeo na utengenezwe mfumo wa mpaka soko na mazao yanayolimwa yauzike ili mkulima awe na uhakika wa soko na kuvuna na Bank zitatengeneza automated system ya kukata mikopo yao juu kwa juu
Hawakufikii wewe. Mwashwamba ni mzalendo wa kweli siyo nyie mabwegeChoiceVariable Lucas mwashambwa ni majitu ya hovyo sana
Asnt Sana bro, Tanzania ikiwa na raia million 20 wa hivi basi ukombozi upo 2025Serikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas Mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na mafisadi na kuamua kuleta uongo wa kiwango cha Hali ya juu kwa Hali inavyoendelea? kwani nani hajui kuwa Kuna matatizo lukuki yanayoikumba nchi yetu tena yasipodhibitiwa mapema yatasababisha changamoto kubwa ya kiuchumi kwa mfano
kukatikakatika ovyo ovyo kwa umeme Tanzania imekuw kawaida kwa sababu umeme ni nishati muhimu na ya lazima inayohitajika mahospitlini, viwandani na kwenye shughuli kama kutotolesha mayai kwa kutumia incubator nk
Shughuli nyingi za kiuchumi zimeathiriwa Sana na kukatika katika hovyo kwa umeme hii Hali imearhiri mzunguko wa fedha na kuua uchumi jumuishi
Kupanda kwa nishati ya mafuta ya aina zote kumefanya multiplying effect ya kupandisha kila aina ya bidhaaa serikali ingetoka hadharani kuelezea mchakato mzima wa uagizwaji na usambazwaji wa mafuta kwani mchakato mzima umegubukwa na usiri wa Hali ya juu nina uhakika serikali ingekuwa serious ilitakiwa kuregulate bei ya mafuta kuw chini ya 2500 ikiwezekana kutoa baadhi ya kodi na kuleta subsidies
Serikali iachane na hawa mercenaries keyboard wanaosifia ujinga bali ipambane na uhalisia kuwa imesababisha ugumu wa Hali ya juu Sana kwa watanzania kwa mfano ukopaji holela unachagizwa na Rushwa iliyotamalaki kila pahala kila kinachokopwa hakifanyi kazi tarajiwa kinapigwa juujuu yaaani ufisadi na wizi wa kutisha
Hussein Bashe aachane Mara moja na project anayofanya kwani hii project ya BBT haina manufaa kabisa bali umekuwa mchongo wa kuwanufaisha walewale wenye uwezo yeye atengeneze mfumo kwa mfano kupunguza bei za pembejeo na kurudisha somo la kilomo mashuleni na pia serikali isamehe kodi vifaa vya kilimo kama matrekta water pumps ili watu wengi zaidi washawishike kwenye kilimo ahakikishe Banking system zinaanzisha kwa kasi matawi yake kwenye mashamba zitengeneze miundombinu ya umwagilialiaji yaaani strategic irrigation schemes kila wilaya na zikopeshe wakulima maji na pembejeo na utengenezwe mfumo wa mpaka soko na mazao yanayolimwa yauzike ili mkulima awe na uhakika wa soko na kuvuna na Bank zitatengeneza automated system ya kukata mikopo yao juu kwa juu
Mhaya uache kujenga uchumi wa Bukoba itoke kwenye umaskini wewe unawaza kwenda Dar.Nigrastratatract nerve unakunywa wine gani boss.
K2a kweli
Lucas mwashambwa na
ChoiceVariable wamekua kero kwa kusifia na kuabudu kusiko na mipaka.
Hata huku kupanda kwa nauli na Bei ya sukari, kukatika kwa umeme Mara kwa Mara wanaona Ni powa tu.
Sasa hivi wahaya tulio Dar Bukoba tutakua tunaisikia kwenye redio.
Watu tumepata hasara za mamilioni kwenye biashara ya kutotolesha vifaranga. Unaweza vifaranga kwenye mashine siku ya kumi na nane umeme unakatika bila taarifa, by the time unarudi vifaranga vimekufa.
Yaani ukiona MTU anasifia.........
Legacy ππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787]