Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Leo huku ya shauri alilofungua Maambukusi imetoka. Wakati kesi hii inaanza hadi inamalizika vyombo vyote vikubwa vya habari nchi vilijiweka mbali na viunga vya Mahakama.
Hakuna chombo kinachofafanunua chanzo cha kesi, hoja na utetezi uliotolewa. Hakuna chombo kinachofahamu TLS iliwakiulishwa na nani? Hakuna chombo kilichojaribu kumhoji RAIS wa TLs wala kwa namna yoyote kuunga mkono mapambano ya Mwambukusi.
Je vyombo hivi vinakatazwa kufuatilia habari kama hizi? Nani anawakataza? Kwanini leo wote wameandika habari inayofanana? Kwanini hakuna clip nyingine tofauti na ile aliyoandaa Mwambukusi na timu yake?
Nani anaweka huu uoga kwa wana habari? Kwa malengo gani?