Sio kununua media ni kuwalipa haki yao. Kujitangaza ugombea Ni tangazo la biashara unatafuta soko ili ukapate mamilioni kwa nini usilipie hilo tangazo. Wafanyakazi wa media wanalipwa mishahara. Unataka wajitolee bure? Kipindi hiki media isiyochaji pesa ikifa ijilaumu yenyewe.YEHODAYA leo umeandika lamaana sana. Kumbe ndio maana CCM kila chombo cha habari ni wao tu maana washawahonga kwa kuwanunua . Hongereni sana aisee. Nimeamini mwizi akikosa chakuiba anajiibia mwenyewe.
Unaelewa wajibu wa media kwenye nchi/duniani?Sio kununua media Ni kuwalipa haki Yao . Kujitangaza ugombea Ni tangazo la biashara unatafuta soko ili ukapate mamilioni kwa Nini usilipie Hilo tangazo.Wafanyakazi wa media wanalipwa mishahara. Unataka wajitolee bure ? Kipindi hiki media isiyochaji pesa ikifa ijilaumu yenyewe
Ndiyo wakati wa kuila hela ya CCM kwani vyombo vyote vya habari viko kwa ajili ya CCM na wagombea wake. Sisi tunaonana na wapiga kura ana kwa ana.Matangazo ya biashara Ni moja ya eneo muhimu kwa vyombo vya habari
Sasa hivi tunaelekea uchaguzi mkuu wanasiasa kutwa watakuwa. Wakiita vyombo vya habari kukitangaza biashara zao za kisiasa wanakogombea
Hilo Ni tangazo La biashara
Vyombo vya habari anzeni kuchaji pesa
Wakiwaalika walipe gharama za waandushi na watangazaji na wakitaka warushwe iwe taarifa ya habari au kuandikwa kwenye gazeti walipie
Hiki Ni kipindi muafaka Cha media kutengeneza Pesa
Basi wangeuza machungwa na vishet studio kama jukumu lao namba mojaWajibu namba moja wa media ni kujiendesha kibiashara ili media isife.
Usimpangie mtu afanye biashara ipi nchi huru hii Ndio maana wengine Wako kwenye media business ukienda na tangazo lako la kujinadi sijui udiwani, ubunge au uraisii au kukinadi Chama chako Hilo Ni tangazo la biashara lipiaBasi wangeuza machungwa na vishet studio kama jukumu lao namba moja