Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

Maelekezo ni kupiga kura na kwenda kutulia nyumbani.

Sasa wew jifanye mjuaji sana hata kura hujapiga unaanza kututabiria ushindi kwa kubeba mabango. Utamwaga damu mapema 2 kuliko kuchonganisha watu na kupelekea taifa kwenye matatizo
 
Wameuuwawa kwenye mazingira gani? Mimi niliona Jana vijana wakiwatupia mawe na matofari vikosi vya ulinzi na usalama mpaka magari yao yakalazimika kuondoka ili kuwanusuru Askari wasipate madhara - sasa kama vijana wa ACT wamerudia tena vurugu zao kama za Jana hapo unategemea Polisi wange react vipi kama sio kutumia nguvu za ziada, ushauri wangu vijana wasijaribu kutuniana misuli na vyombo vya Dola - tiini amri bila shuruti - akili za kuambiwa chaganya na za kwako, mtakao pata kipigo na kujeruhiwa ni nyinyi na sio viongozi wenu wa vyama vya upinzani, msikubali kutumika kama doormat.
mtu akirusha tofali anadhibitiwa kwa risasi ya moto?

How old are you?
 
Chief
Tatizo la Mwafrika ni kutofikiri au uvivu uliokubuhu

Ok
tuseme hakuna haki Bongo....

Je!ni nani mlie muandaa kuja kutetea haki yako wewe...?!

Lisu.. au nani?!
We ndo mvivu wa kufikri tena uliekubuhu unataka mpaka uandalewe mtu wa kutetea haki yako Hakuna mtu hatakae kuja ketea haki yako isipokuwa we mwenyewe

Kwanza nijibu swali langu
Yanayoendelea nchini ni HAKI?
 
Hili ni doa Sana kwa familia ya mwinyi japo ujifanya wanaswali. Yule mzee ana miaka 95 badala ya kufanya ibada lala salama hii mda wa rehema Mola aliomjalia Yuko bize kuhangaika na dunia utadhani kijana wa miaka 20 au anazo siku tele za kuishi duniani
 
Tanzania has accused security forces of shooting dead five citizens and arresting its leader
Screenshot_20201027-164116.jpg
Screenshot_20201027-164131.jpg
 
Bara kuna wajinga na wachumia tumbo wengi sana. Ujinga na uchumia tumbo unasababisha uoga
Hizi shamra-shamra kiasi tunazoona bara wakati huu ni kwa sababu ya ujio wa mbeba maono, mzalendo na jasiri LISU.
Hicho kinachoendelea zanzibar kingewezekana kama kila mkoa Bara kungepatikana LISU wawili hivi
Unataka kumrisisha nani upumbavu wako. Pambaneni na ujinga wenu wapuuzi na nusu kesho 12 kamili kumpa kura ya JPM
 
Unatarajia watangaze NINI kama siyo mambo kama hayo ya kuleta taharuki nchini mwetu? Unadhani hao watatangaza habari zenu za maendeleo!? THUBUTU wachekwe!
 
Wana CCM waliouwawa Njombe na Songwe mbona mlikuwa hamtoi mapovu kiasi hicho au wale siyo binadamu?
 
Wana CCM waliouwawa Njombe na Songwe mbona mlikuwa hamtoi mapovu kiasi hicho au wale siyo binadamu?
suala ni kutoa mapovu au suala ni watuhumiwa wote wafikishwe mbele ya sheria, haijalishi ni nani, awe polisi, ffu, au nani, wote wauaji
 
Back
Top Bottom