mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Kumbe uchaguzi wa leo hakuna wakala WA vyama vya siasa kuingia! Kuna haja gani ya kupiga Kura?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al-Jazeera wamesha ripoti mauaji ya Pemba na kuwekwa ndani kwa Maalim Seif.
Dah yaani acha tu aisee. Jana nimeona ile video wanajeshi wa vita, vifaru vya vita utadhani nchi imevamiwa aisee. Vita kabisa.kwa lipi kiongozi... siwezi furahishwa na uvunjifu wa amani ndani ya nchi yangu kwa namna yoyote ile... wanaoumia ni ndugu zangu waTanzania
bara mzami umegusa chini kabisa upande wa CCM. Kati ya wananchi 10 wa bara, 9.5 wapo tayari kuirudisha serikali iliyopo madarakani. Ukweli mchungu. Tofauti na 2015 ambapo viongozi na wanachama wa CCM walikua tayari kumpinga mgombea wa CCM na kumchagua wa upinzani. Sasa hivi viongozi wote wa CCM na wanachama wa CCM wanataka chama mgombea wao ashinde.Lakini kwanini wa zazibar wako tayari kwa lolote kuliko watu wa bara? Ukisikiliza aljazeera na CNN unaweza akadhani uchaguzi uko zazibar tu na wazazibari ndo wanao chukia ukandamizaji wa CCM peke yao, kumbe Bara ni mara mbili yake ila tuko kimya sanaa
kuuwa watu huko zanzibar ndiyo propaganda?
We umefanya kitu gani chochote kuonyesha chuki yako dhidi ya ukandamizaji wa CCM?Lakini kwanini wa zazibar wako tayari kwa lolote kuliko watu wa bara? Ukisikiliza aljazeera na CNN unaweza akadhani uchaguzi uko zazibar tu na wazazibari ndo wanao chukia ukandamizaji wa CCM peke yao, kumbe Bara ni mara mbili yake ila tuko kimya sanaa
Watu wa bara ni wanafiki sana wanaongea Tu hawawezi kufanya lolote wameisha zoea kubuluzwaLakini kwanini wa zazibar wako tayari kwa lolote kuliko watu wa bara? Ukisikiliza aljazeera na CNN unaweza akadhani uchaguzi uko zazibar tu na wazazibari ndo wanao chukia ukandamizaji wa CCM peke yao, kumbe Bara ni mara mbili yake ila tuko kimya sanaa
Give ZEC, NEC and Tanzania at large, a space to conduct its own electioneering without foreign meddling interferences.
Hata iyo amani unayojivunia sasa ivi itavunjika tu kwa kukosa HAKINdio salama yetu
Kwasababu mbili kuu
1)Sisi kama Waafrika,hatujui tunachokitafuta hasa....
2)Hakuna Mtawala alieandaliwa kuwa Mzalendo wa kweli katika Nchi yake
Salama kwetu
Ni kukaa kimya na kuienzi amani tuliyokuwa nayo....hata kama Haki haipo
Kuna wakati Haki iwache ichelewe,ili amani itamalakiHata iyo amani unayojivunia sasa ivi itavunjika tu kwa kukosa HAKI
Jiwe na vibaraka wake naona wameamua kujipalilia njia ya kwenda The Hague mchana kweupe .Hili si jambo la kufanyia mzaha kabisa
Ni muda sio mrefu tumepata taarifa juu ya mauaji ya watu watatu huko Pemba na kikosi cha polisi.
Na hivi sasa vyombo vya habari vya kimataifa vimeanza kuripoti juu ya tukio hili ambalo kwa vyovyote litatia doa nchi na kupelekea waangalizi wakubwa wa kimataifa kujiridhisha kua kuna uminywaji wa Demokrasia na haki za binadamu, watu wanataka madaraka kwa nguvu japo watu wameamua kupiga kura ya mabadiliko lakini inavyoelekea chama tawala hawawezi kukubali hilo.
Hii itoshe tu kusema kua habari zimeanza kusambaa dunia nzima.
Watu wa Tanganyika wangekuwa wanajitambua kama wazanzibar basi ccm ingeshakufa kifo cha mende na magufuli leo angekuwa mwanachama wa kawaida wa chama cha mafisadi na wauaji a.k.a ccm
Jiwe na vibaraka wake naona wameamua kujipalilia njia ya kwenda The Hague mchana kweupe .
Wewe nae ni mpuuzi tu. Sasa unaona ni bora tutawaliwe na mafisadi waliojaa ccm kuliko nchi kukombolewa toka domo la mamba ccm, punguani wa head wewe.Watanganyika wanajitambua sana Bro
Labda wewe
Kisha
Jifunzeni ya Libya,Uraq,Somalia nk
Waliwatoa Watawala wao wakiwa na tamaa mfu kama nyie,kisha leo wanalia kilio cha Mbwa
Bora mjinga anaenunua wakati...kuliko mjanja anaejinyea ovyo
Nilidhani ni FOX, CNN, BBC kumbe hao ambao waliozuiwa kukanyaga Misri na nchi nyingine za Kiarabu kwa fitina zao?Al-Jazeera wamesha ripoti mauaji ya Pemba na kuwekwa ndani kwa Maalim Seif.
CCM na Nyerere walitutia ukilema wa akili na unafiki. Media uchwara ziko active kuripoti machafuko ya Nigeria. ila huko Zanzibar wanajifanya hawajui. wapo na makamera yao kwenye mikutano ya Lissu ila wanaogopa kumrusha jwenye taarifa ya habariLakini kwanini wa zanzibar wako tayari kwa lolote kuliko watu wa bara? Ukisikiliza Aljazeera na CNN unaweza akadhani uchaguzi uko zanzibar tu na wazanzibari ndo wanaochukia ukandamizaji wa CCM peke yao, kumbe Bara ni mara mbili yake ila tuko kimya sanaa
Aliepigwa risasi bila makosa unamuita kibaraka?Sawa hao wazungu watakuja kuwaweka madarakani hao vibaraka wao wakina Lissu na Mzee Seif.
Kwaiyo mkuu we unaona yanayo endelea nchini sasa ivi ni Haki?Kuna wakati Haki iwache ichelewe,ili amani itamalaki
Labda nikuulize swali dogo
Ww umenyimwa haki gani hata Tz?!