azariah davis
Member
- Oct 18, 2020
- 91
- 72
mtu akirusha tofali anadhibitiwa kwa risasi ya moto?Wameuuwawa kwenye mazingira gani? Mimi niliona Jana vijana wakiwatupia mawe na matofari vikosi vya ulinzi na usalama mpaka magari yao yakalazimika kuondoka ili kuwanusuru Askari wasipate madhara - sasa kama vijana wa ACT wamerudia tena vurugu zao kama za Jana hapo unategemea Polisi wange react vipi kama sio kutumia nguvu za ziada, ushauri wangu vijana wasijaribu kutuniana misuli na vyombo vya Dola - tiini amri bila shuruti - akili za kuambiwa chaganya na za kwako, mtakao pata kipigo na kujeruhiwa ni nyinyi na sio viongozi wenu wa vyama vya upinzani, msikubali kutumika kama doormat.
Akijibu nitag mkuumtu akirusha tofali anadhibitiwa kwa risasi ya moto?
How old are you?
ChiefKwaiyo mkuu we unaona yanayo endelea nchini sasa ivi ni Haki?View attachment 1613785
[emoji23][emoji23][emoji23]ila wewe jaman bhana!!Huo ni uwongo wa CHADEMA mwisho wao ni October
We ndo mvivu wa kufikri tena uliekubuhu unataka mpaka uandalewe mtu wa kutetea haki yako Hakuna mtu hatakae kuja ketea haki yako isipokuwa we mwenyeweChief
Tatizo la Mwafrika ni kutofikiri au uvivu uliokubuhu
Ok
tuseme hakuna haki Bongo....
Je!ni nani mlie muandaa kuja kutetea haki yako wewe...?!
Lisu.. au nani?!
Ni habari sababu ufahamika kiutaliiWao wana hofu ya uchaguzi wao kuingiliwa na Urusi na Iran....covid, nk habari za wapemba kuzichapa na polisi kwao sio habari wakati huu..
hapana anapewa soda na biscut tu....hivi mkuu ulishawai kutandikwa jiwe la ugoko ukaona maumivu yake...jiulize dogo anayekutandika yupo hapo nawe una chuma cha moto!mtu akirusha tofali anadhibitiwa kwa risasi ya moto?
How old are you?
Weka taarifa ya kina...Chanzo ni nini?taarifa juu ya
Ww umenyimwa haki gani hata Tz?!
Unataka kumrisisha nani upumbavu wako. Pambaneni na ujinga wenu wapuuzi na nusu kesho 12 kamili kumpa kura ya JPMBara kuna wajinga na wachumia tumbo wengi sana. Ujinga na uchumia tumbo unasababisha uoga
Hizi shamra-shamra kiasi tunazoona bara wakati huu ni kwa sababu ya ujio wa mbeba maono, mzalendo na jasiri LISU.
Hicho kinachoendelea zanzibar kingewezekana kama kila mkoa Bara kungepatikana LISU wawili hivi
Wakati mwingine uwe unatumia akiliHuo ni uwongo wa CHADEMA mwisho wao ni October
Waache watoe tu lazima vibaraka wao tuwanyooshe kesho hakuna jinsi. Kama wanategemea mabeberu kuwaingiza Ikulu wasahau.Wakati mwingine uwe unatumia akiliView attachment 1613841
suala ni kutoa mapovu au suala ni watuhumiwa wote wafikishwe mbele ya sheria, haijalishi ni nani, awe polisi, ffu, au nani, wote wauajiWana CCM waliouwawa Njombe na Songwe mbona mlikuwa hamtoi mapovu kiasi hicho au wale siyo binadamu?