Ajabu Zanzibr
Wapiga kura wote ni Laki 5 lakini Kura siku 2
Bara wanapiga kura Milioni 29 kura siki 1
Pamoja na yote haya Kura ilitakiwa ianze leo Asubuhi Wao CCM wamepiga Jana Usiku Saa 4.
Mawakala wa Upinzani hawakuwemo na hadi hivi sasa hawajapewa Vitambulisho vya kuingia kwenye vituo,
Kura ya Mapema CCM wamepiga wakiwa peke yao bila ya mawakala wa Upinzani.
Hata Mgombea Uraisi Maalim Seif Katimuliwa,
Huku Polisi wakivinjari Mitaani na Mobomu .
Kule pemba Ndio Hivyo Zaidi ya watu 3 wameuwawa
Pamoja na wizi woote huo wakija kuhisabu kura wakishindwa watapindua Matoke,
HII NDIO ZANZIBAR , YAJAYO YANASIKITISHA.
MIMI NIKO ENEO LA TUKIO DARAJANI ZANZIBAR, HIVI SASA NDIO MABOMU YAMESIMAMA NA POLISI WAMEKWENDA KUPUMZIKA BAADA YA SHUGHULI YA USIKU WA JANA NA MCHANA WOTE LEO.
CCM wanajiibia wenyewe , jeshi lao,tume yao, wasimamizi wao, na mwisho wa siku maamuzi ni yao. Vyombo vya habari vyao pamoja na yote hayo Hawajiamini,