Toka jana, waandishi na watangazaji wengi nchini Burundi, wamekwama jijini Bujumbura. Lengo lao lilikuwa kufuatilia mchakato mzima wa uchaguzi.
Chama tawala cha CNDD-FDD, kiligawa nchi na kupata majimbo 5 ya uchaguzi. Waandishi hao na watangazaji, kwa mjibu wa taratibu za chama tawala, CNDD-FDD ilikuwa iwapeleke vituoni kufatilia uchaguzi huo; na mpaka sasa, hawajaondoka, huku maeneo mengi zoezi likia tayari limeanza!
Ilikuwa inasubili huko Doha serikali itowe tamko kukubaliana na matakwa yake, na ndo serikali imegoma, na M23 imewaondoa wawakilishi wake. Hivyo tusubili muendelezo tu huko.