Vyombo vya habari kwa wakati huu viko na nguvu ndogo sana.

Vyombo vya habari kwa wakati huu viko na nguvu ndogo sana.

Tunapita1

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
561
Reaction score
1,010
vyombo vya habari hapa Tz havinà nguvu kabisa ,sasa hivi mitandao ya kijamii ndo kila kitu.

Mgombea anayekubarika mitandaoni basi ndo anayependwa huu ndo ukweli.

Watu radio na Magazeti awayasikilizi sana, labda wazee wamakamo tu tuweni wakweli tu.

Hii hoja ya Rais wa mitandao , basi tuseme Ccm watapata Rais wa redio na magazeti.
 
Ndiyo maana havimsaidii sana Magufuli kwa sababu wananchi wameshavipuuza.

Hakuna habari tena ni propaganda na upambe nuksi mtupu
 
Buku ya kununulia gazeti, inaniwezesha kupata GB 1 na dkk 10 za halotel wiki nzima. Naperuzi mitandaoni weee mpaka nachoka.

Lakini Habari kwa magazeti ingenilazimu nitumie 7000/= wiki nzima. Mitandao ina-save 6000/= na hivyo naishia kutumia 1000/= wiki nzima na ninapata Habari nyingi kuliko ambazo ningepata kupitia vyombo vya Habari.
 
Back
Top Bottom