Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haxina waangaliaji, alafu wewe unahangaika zitangaze ili uangalie!Leo CHADEMA wameanza mchakato wa kumpata Mgombea Urais ila vyombo vya habari vikubwa nchini havikuripoti live tukio ilo.
Kura zimepigwa bado hawakutaka kuripoti, hata ITV ambao Wana breaking news hawakuwa habari yoyote kuonyesha Kuna Jambo linaendelea.
Mgombea amepitishwa bado vipo kimya, hata pale mwanahabari mwenzao Salum Mwalim alipewa ridhaa ya mgombea mwenza hawakutaka kuupa umma habari hii
Kateuliwa mgombea Zanzibar baro TBC, Star Tv na ITV wapo kimya
Nyarandu kapongeza na kusema anamuunga mkono Tundu but bado wapo kimya
BBC wametangaza na taarifa kuanza kusambaa mitandaoni ndipo wanaanza kuandika kidogokidogo.
Wapi nafasi ya vyombo vya habari Tanzania?
Leo naona CHADEMA wamejifunza, wamejiwekea mkakati wakurekodi matukio kwa simu na kuyarusha WhatsApp yasambae kila Kona hii ikiwa nikukabuiliana na mgomo wa vyombo vyetu vya habari .
ACT pia kupitia blogs na WhatsApp watarekodi na kurusha ninyi endeleeni kutumia Tv ambazo hazina tena waangaliaji tuone
Huu udikteta lazima tuupige chini October, hatuwezi kuendelea na tabia hii mbovu ya kuminya uhuru wa vyombo vya habari.Leo CHADEMA wameanza mchakato wa kumpata Mgombea Urais ila vyombo vya habari vikubwa nchini havikuripoti live tukio ilo.
Kura zimepigwa bado hawakutaka kuripoti, hata ITV ambao Wana breaking news hawakuwa habari yoyote kuonyesha Kuna Jambo linaendelea.
Mgombea amepitishwa bado vipo kimya, hata pale mwanahabari mwenzao Salum Mwalim alipewa ridhaa ya mgombea mwenza hawakutaka kuupa umma habari hii
Kateuliwa mgombea Zanzibar baro TBC, Star Tv na ITV wapo kimya
Nyarandu kapongeza na kusema anamuunga mkono Tundu but bado wapo kimya
BBC wametangaza na taarifa kuanza kusambaa mitandaoni ndipo wanaanza kuandika kidogokidogo.
Wapi nafasi ya vyombo vya habari Tanzania?
Leo naona CHADEMA wamejifunza, wamejiwekea mkakati wakurekodi matukio kwa simu na kuyarusha WhatsApp yasambae kila Kona hii ikiwa nikukabuiliana na mgomo wa vyombo vyetu vya habari .
ACT pia kupitia blogs na WhatsApp watarekodi na kurusha ninyi endeleeni kutumia Tv ambazo hazina tena waangaliaji tuone
Hiyo siku yaja upesiYa Congo, Malawi Zambia kenya Ghana yaweza kutokea Tanzania ndipo itatokea Rais kuondolewa kinga ya kutoshitakiwa kama Malawi walivyofanya sasa
Sema utamuadhibu, nitoe mimi.Matapeli ndiyo yanakamatwa kila kukicha mdanganyeni ndugu yenu tutamuadhibu kupitia sanduku la kura bila aibu na hatarudia