Vyombo vya habari kwanini mnawakimbia CHADEMA na ACT Wazalendo?

Unakuta mtu hapa anailalamikia TBC ila yeye pia ndio hujisifu kuwa siku hizi haangalii Tbccm.
 
Haxina waangaliaji, alafu wewe unahangaika zitangaze ili uangalie!
Waedeshaji wa vipindi ni waelewa na wazarendo , ni upotevu wa muda kuhangaika na mtu ambaye hawezi kupata hata kura milioni moja alafu shoga
Huo utakuwa zaidi ya uhuni
 
Huu udikteta lazima tuupige chini October, hatuwezi kuendelea na tabia hii mbovu ya kuminya uhuru wa vyombo vya habari.
 
Ya Congo, Malawi Zambia kenya Ghana yaweza kutokea Tanzania ndipo itatokea Rais kuondolewa kinga ya kutoshitakiwa kama Malawi walivyofanya sasa
Hiyo siku yaja upesi
 
Itv sauti imeondolewa Lisu akianza kuelezea hali ya maisha kwa miaka mitano iliyopita...ndiyo uhuru wenyewe huo wa habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…