Col FEN
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 327
- 460
Wachambuzi na Wanahabari Habari kupitia kituo cha TV KTN Kenya kwa pamoja wamekubali kuwa ujio wa Mh. LOWASA katika kampeni uchaguzi wa Kenya umesaidia kwa asilimia nyingi kwa Mh. Uhuru na timu nzima ya Jubilee kupata ushindi katika uchaguzi wa Kenya.
Chanzo ni KTN TV Leo jioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo ni KTN TV Leo jioni.
Sent using Jamii Forums mobile app