Vyombo vya Habari na Wachambuzi wa Habari Kenya Wamkubali LOWASA !!

Huyu c ndo yule aliemo kwenye list mafisadi mwembe yanga tena ushahidi mnyika anao au sie?
 
Ungetaja na aliyekuwa namba1, 2 na 3 ingekuwa poa sana. Mtu wa chini hawezi kufanya jambo bila uhusika wa mabosi zake. Hata hivyo nashauri apelekwe mahakamani kama alivyotoa wito kwa wale wote wenye ushahidi, otherwise shut up your mouth
 
Kwa afya ya Lowassa huwezi kumpa uraisi. Alafu ili aweze kupata nguvu huwa anashitua kidogo. Asipo shitua nitaabu. Lakini mwisho wasiku he is part of the game. Kwa sasa Chadeko imebaki jina. Naona kwa sasa kelele zimepungua sana mmeamua kuanza kutatua kero kwa kutembelea majimbo. Naona Sera ya Hapa Nazi imewagusa.
 
Ungetaja na aliyekuwa namba1, 2 na 3 ingekuwa poa sana. Mtu wa chini hawezi kufanya jambo bila uhusika wa mabosi zake. Hata hivyo nashauri apelekwe mahakamani kama alivyotoa wito kwa wale wote wenye ushahidi, otherwise shut up your mouth
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jitahidi kumtetea yule uliewahi kumtukana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom