Vyombo vya habari nchini vina Promote Ngono

Vyombo vya habari nchini vina Promote Ngono

Tukisema vyombo vya habari nchini Tanzania vina promote Ngono tutakuwa tunakosea?

Huyu Dada baada ya Kutrend na Video zake anazofundisha Ngono mitandaoni kapata nafasi ya kualikwa kwenye Malkia wa Nguvu na kupostiwa kwenye Chombo cha habari kikubwa nchini.

View attachment 2943309

HII NCHI INA VITU VYA AJABU SANA!

✍️Mjanja M1
Acha uwivu
Msichojua some time sura zenye mvuto ni nzuri sana kwenye kuuza habri.

Nilishawahi kuwa editor huko miaka ya nyuma kila nikiletewa kazi na picha uwa naangalia watu wenye mvuto ndio nilikuwa nikiwaweka front..
Katoto kazuri haka kwanini usikapendelee..
 
Back
Top Bottom