1. Wanaogopa kufungiwa, kuna tight, very tight grip on media outlets na serikali
2. Sidhani wanapenda kuandika /kutokuandika kama wanavyofanya.
3. Wapo wachache machawa, lkn wengi nadhani wanaogopa wrath of this dictatorial gov.
4. Ukiacha akina Balile et al .....wengine wanaogopa kufungwa matumbo yao