Siku hz ukweli ni matusi na uchochezi!Ni kinyume na taaluma kuandika uongo na matusi
SISEMI WAANDIKE MATUSI/UONGO, BUT HAVE A RESPONSIBILITY TO WRITE THE TRUTH!Ni kinyume na taaluma kuandika uongo na matusi
ANGALIA HAKUNA GAZETI HATA MOJA LILIANDIKA HABARI ZA POLEPOLESiku hz ukweli ni matusi na uchochezi!
basi wasiandike kabisa wakae kimya kuliko kutupa uongo1. Wanaogopa kufungiwa, kuna tight, very tight grip on media outlets na serikali
2. Sidhani wanapenda kuandika /kutokuandika kama wanavyofanya.
3. Wapo wachache machawa, lkn wengi nadhani wanaogopa wrath of this dictatorial gov.
4. Ukiacha akina Balile et al .....wengine wanaogopa kufungwa matumbo yao
Karne hii huhitaji kuhadithiwa ukweli...ukweli unatajwa na ushahidi hadharaniSiku hz ukweli ni matusi na uchochezi!
si wameanzisha doria mtandaoniHuku kwenye magazeti serikali ilishamaliza kazi.... serikali inapata shida kuzima mitandao maana huku ndiko serikali inafuatilia
Huku mtandaoni ni anonymous chat tunaendelea kuficha identity zetusi wameanzisha doria mtandaoni
ova