THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Taaluma ya uandishi wa habari ni taaluma ilipaswa kuwa na watu ambao wanaelewa mpana kuhusu masuala mbali mbali ya kijamii,uchumi na siasa. Kamari yaani michezo ya ubashiri ni kiashiria Taifa haina nguvu kazi yakutosha (Taifa shikizi la wavivu).
Sijawahi kuona mtu mwenye mafanikio au tajiri alifanikiwa kwa kucheza michezo ya kubashiri. Mafaniki ama utajiri ni mchakato.
Sijawahi kuona mtu mwenye mafanikio au tajiri alifanikiwa kwa kucheza michezo ya kubashiri. Mafaniki ama utajiri ni mchakato.