figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Tanzania tuna safari ndefu sana. Tulitegemea Vyombo vyetu vya Habari na hizi online TV wawe mbele kwa uzalendo kwa kutetea Nchi. Lakini wanatumikia Mafisadi.
Nimetafuta Video za Ufisadi wa Lugumi, zote zimeondolewa Mitandaoni.
Ni aibu kwa TEF, na MISA-TAN na Washika dau waao.
Katika kuhangaika, nimepata Post za Jamiiforums tu zinazomzungumzia Lugumi.
Pia kuna Video za Jamiiforums tu.
View: https://youtu.be/6_txk7Tkmvg?si=SQ4eS485CP5S3M1Q
Kwa yoyote mwenye Kashfa ya Lugumi ambayo ipo Online naomba aweke hapa ili kuweka kumbukumbu sawa kwa vizazi vijavyo.
Leo anaringishia watu Magari
View: https://youtu.be/1BerX8qAZcM?si=QIEC7KJn0MeeCUOG
Huu Mkataba wa Lugumi na Polisi hauonekane.
Hii thread iwe Kumbukizi ya Jinsi Lugumu kaitafuna Nchi
Ukiingia Millard ayo, huwezi pata tone la maovi ya Lugumi
View: https://youtu.be/jWeJLOuWiNU?si=hV9du5uqnyitXGzl