Vyombo vya Habari Tanzania vyawekwa Mfukoni mwa Lugumi. Taarifa zake za Ufisadi zaondolewa Mitandaoni

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Tanzania tuna safari ndefu sana. Tulitegemea Vyombo vyetu vya Habari na hizi online TV wawe mbele kwa uzalendo kwa kutetea Nchi. Lakini wanatumikia Mafisadi.
Your browser is not able to display this video.

Nimetafuta Video za Ufisadi wa Lugumi, zote zimeondolewa Mitandaoni.

Ni aibu kwa TEF, na MISA-TAN na Washika dau waao.

Katika kuhangaika, nimepata Post za Jamiiforums tu zinazomzungumzia Lugumi.

Pia kuna Video za Jamiiforums tu.


View: https://youtu.be/6_txk7Tkmvg?si=SQ4eS485CP5S3M1Q
Kwa yoyote mwenye Kashfa ya Lugumi ambayo ipo Online naomba aweke hapa ili kuweka kumbukumbu sawa kwa vizazi vijavyo.

Leo anaringishia watu Magari

View: https://youtu.be/1BerX8qAZcM?si=QIEC7KJn0MeeCUOGHuu Mkataba wa Lugumi na Polisi hauonekane.

Hii thread iwe Kumbukizi ya Jinsi Lugumu kaitafuna Nchi

Ukiingia Millard ayo, huwezi pata tone la maovi ya Lugumi

View: https://youtu.be/jWeJLOuWiNU?si=hV9du5uqnyitXGzl
 
Jamiiaforums inasalia kuwa jukwaa lenye uzalendo tukuka kwa Taifa
 
Kwa Sasa lugumi ni rafiki wa abdul ndiyo maana ufisadi wake wote unasafishwa
 
Kila nikipita vituo vya police na kukuta ule usanii wa biometric machines nabaki kumkumbuka Lugumi alivyotubamiza bila huruma
 
Hakuna ufisadi ndio maana hakuna ushahidi au hizo video feki zilizo tengenezwa Sasa wameona aibu wenyewe.
Lugumi chapa kazi nchi iendelee.
 
Waziri wa mambo ya ndani kangi Lugola
Your browser is not able to display this video.
 
Godbless Lema akibishana na Job Ndugai kuhusu Lugumi
Your browser is not able to display this video.
 
Kwani Lugumi ni fisadi
 
Said Alivyoipiga Tanzania Kama Ngoma Leo Anameremeta Amepambwa Mau
 
One of very interesting thing ni kuwa huyu Lugumi ni muuzaji wa Silaha za Israel na wavaa kobazi wanamkubali sana
 
Kila nikipita vituo vya police na kukuta ule usanii wa biometric machines nabaki kumkumbuka Lugumi alivyotubamiza bila huruma

Sasa hivi anafanya ibada ya kubariki upigaji wake...analea yatima na kusitiri wajane πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Na kuuza bunduki na mizinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…