maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Ndugu zangu waandishi wa habari TZ,
Tujifunze kutokuwa na bias kwenye utoaji wa habari ili kutokuwajengea watu confidence ya uwongo.
Waandishi wa habari wa nchi za magharibi walitoa habari zap kiupendeleo kwa kudanganya kuwa Kamala anaelekea kushinda lakini tuliyoshuhudia kuanzia asubuhi ni tofauti kabisa.
Hali ya upendeleo ipo pia kwenye nchi zetu na nina uhakika kaka yangu Pascal Mayala ameiandikia at one point or another.
Tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu, kwa hiyo tujitahidi kuwapa watanzania ukweli na sio kuwa chawa Kwa baadhi ya wanasiasa.
Nawasilisha