Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa zote walizokuwa wanatoa zilikuwa zinaonyesha Kamala atashinda. Pia walikuwa wanamripoti Trump kwa msimamo hasi tu. Kumbe wananchi wanawaangalia tuWalimdanganyaje Kamala??
Nafikiri nafasi ya vyombo vya habari kwa wenzetu wa dunia ya kwanza siyo kubwa. Nilipokuwa nafuatilia vyombo vyote vya habari hakuna hata kimoja kilichokuwa kinamsapoti Trump lakini matokeo yamekuwa tofauti.Mainstream media +wasanii karbia wote walikuwa kwa kamala ILA mwisho wa siku maji VS mafuta vimejulikana.
Fox News, OAN na Newsmax walikuwa wanamripoti vipi Kamala??Taarifa zote walizokuwa wanatoa zilikuwa zinaonyesha Kamala atashinda. Pia walikuwa wanamripoti Trump kwa msimamo hasi tu. Kumbe wananchi wanawaangalia tu
Hujawahi kuijua Fox News kwa sababu sio maarufu bongo kama CNNNafikiri nafasi ya vyombo vya habari kwa wenzetu wa dunia ya kwanza siyo kubwa. Nilipokuwa nafuatilia vyombo vyote vya habari hakuna hata kimoja kilichokuwa kinamsapoti Trump lakini matokeo yamekuwa tofauti.
Vyombo vya habari vilikuwa vinapata kigugumizi hata kutangaza mshindi
Matokeo ni mwezi ujao kama sijakosea na januari mwakani ndipo anateuliwa rasmi kuwa rais, 20 january anaapishwa.Wenzetu hawakurupuki kama rais wa tffHivi mbona sijaona mwenyekiti wao wa Tume akisoma matokeo? Au vyombo vya habari vikitoa taarifa imetosha?
Ni waongo sana, na hii ni kwa vile anachukiwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wastaafuTaarifa zote walizokuwa wanatoa zilikuwa zinaonyesha Kamala atashinda. Pia walikuwa wanamripoti Trump kwa msimamo hasi tu. Kumbe wananchi wanawaangalia tu
Faiza Foxy anasemaje??Kuongozwa na mwanamke ni ujinga