maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Hivi mbona sijaona mwenyekiti wao wa Tume akisoma matokeo? Au vyombo vya habari vikitoa taarifa imetosha?Tume ya Uchaguzi ya USA ndio masterilingi. Ila kuna tume ya Uchaguzi ya nchi fulani hivi, ni kama tawi la chama tawala katia nchi hiyo.
Matokeo yao yanawekwa wazi kwenye mfumo online toka kwenye kila jimbo na kila kituo kila baada ya muda mfupi. System inakuwa live kila mtu anaona live, kila sekunde mfumo unaupload matokeo. Ndio maana vyombo vya habari vinakuwa live, matokeo waachukua live online.Hivi mbona sijaona mwenyekiti wao wa Tume akisoma matokeo? Au vyombo vya habari vikitoa taarifa imetosha?
Kama Kamala aliamini vyombo vya habari ..basi hastahili kabisa hata kuwa senetor...Ndugu zangu waandishi wa habari TZ,
Tujifunze kutokuwa na bias kwenye utoaji wa habari ili kutokuwajengea watu confidence ya uwongo.
Waandishi wa habari wa nchi za magharibi walitoa habari zap kiupendeleo kwa kudanganya kuwa Kamala anaelekea kushinda lakini tuliyoshuhudia kuanzia asubuhi ni tofauti kabisa.
Hali ya upendeleo ipo pia kwenye nchi zetu na nina uhakika kaka yangu Pascal Mayala ameiandikia at one point or another.
Tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu, kwa hiyo tujitahidi kuwapa watanzania ukweli na sio kuwa chawa Kwa baadhi ya wanasiasa.
Nawasilisha
Tutume maombi watuazimishe huo mfumo wao kwa uchaguzi mkuu mwakani. Inaonekana ni mfumo ambao utatuhakikishia free, fair and verifiable electionMatokeo yao yanawekwa wazi kwenye mfumo online toka kwenye kila jimbo na kila kituo kila baada ya muda mfupi. System inakuwa live kila mtu anaona live, kila sekunde mfumo unaupload matokeo. Ndio maana vyombo vya habari vinakuwa live, matokeo waachukua live online.
Usa hakuna muda wa kupoteza na kuiba kura kihuni
Atakuwa hospitali kwenye drip ya 19 sasaNa huenda alijiaminisha kweli.. maana mpaka sasa hajajitokeza kukubali kushindwa.
Aisee... Pole yake sana.Atakuwa hospitali kwenye drip ya 19 sasa
Vyombo vingi vya habari ni makalio puppets kwa hiyo walishabikia sana watoto wao wawe mashogaNdugu zangu waandishi wa habari TZ,
Tujifunze kutokuwa na bias kwenye utoaji wa habari ili kutokuwajengea watu confidence ya uwongo.
Waandishi wa habari wa nchi za magharibi walitoa habari zap kiupendeleo kwa kudanganya kuwa Kamala anaelekea kushinda lakini tuliyoshuhudia kuanzia asubuhi ni tofauti kabisa.
Hali ya upendeleo ipo pia kwenye nchi zetu na nina uhakika kaka yangu Pascal Mayala ameiandikia at one point or another.
Tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu, kwa hiyo tujitahidi kuwapa watanzania ukweli na sio kuwa chawa Kwa baadhi ya wanasiasa.
Nawasilisha
Unasema?Kuongozwa na mwanamke ni ujinga
Marekani hawana Tume ya Uchaguzi kwaiyo huwezi kuona mtu anasimama eti kutangaza matokeo ya urais ila vyombo vya habari vinakusanya matokeo ya kila jimbo pale yanapotangazwa katika state moja moja.Hivi mbona sijaona mwenyekiti wao wa Tume akisoma matokeo? Au vyombo vya habari vikitoa taarifa imetosha?
2020 walimwibia Trump. Hilo liko wazi kabisa. Democrats walitumia kisingizio cha korona, wakapitisha kura za posta ili kumshindisha Joe Biden.Matokeo yao yanawekwa wazi kwenye mfumo online toka kwenye kila jimbo na kila kituo kila baada ya muda mfupi. System inakuwa live kila mtu anaona live, kila sekunde mfumo unaupload matokeo. Ndio maana vyombo vya habari vinakuwa live, matokeo waachukua live online.
Usa hakuna muda wa kupoteza na kuiba kura kihuni
Kwa iyo matokeo Yao hayategemei msimamizi wa uchaguz atamtangaza nani? Au hakuna uwezekano wa goli la mkono la yule mtaalam wa kutoka kule Jimbo la kwara?Matokeo yao yanawekwa wazi kwenye mfumo online toka kwenye kila jimbo na kila kituo kila baada ya muda mfupi. System inakuwa live kila mtu anaona live, kila sekunde mfumo unaupload matokeo. Ndio maana vyombo vya habari vinakuwa live, matokeo waachukua live online.
Usa hakuna muda wa kupoteza na kuiba kura kihuni
Mainstream media +wasanii karbia wote walikuwa kwa kamala ILA mwisho wa siku maji VS mafuta vimejulikana.Ndugu zangu waandishi wa habari TZ,