matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Wakati serikali na vyombo vyake wanapotangaza kwa utashi wao juu ya majanga yanayoweza kulipata taifa tahadhari za kibinadamu kuchukuliwa.
Watu wa rohoni hatupaswi kukaa kimya kusubiri yatokee kama yalivyotabiriwa.
Inatakiwa watu wa Mungu waitishe maombi ya kubatilisha na kufuta kila kilichotangazwa na kutabiliwa kisitokee au kuleta madhara nchini.
Imani ni zaidi ya utaalam. Yesu aliwahi kuongea na dhoruba ikatulia. Kila mkristo anayeamini huyo Yesu yuko ndani yake ni fursa kutangaza tangazo lake la kiroho kufuta na kubatilisha hali hii iliyotangazwa kuja kuipata nchi na baadhi ya madhara yameonekana Kagera.
Hii ndio inapaswa kuwa faida ya nchi kuruhusu na kusajili vituo vya kiroho vingi. Tusiwaachie wataalam kwenye majanga. Na watumishi nao watoe matangazo na utabiri wao wa mema ya nchi hii nzuri Tanzania.
Ni hayo tu.