Vyombo vya Habari vinacheza Mdumange wa CCM, vyapigwa marufuku kuripoti mapokezi ya Lissu Jimboni

Kama hawajui nguvu ya umma ni nini wafanye huo ujinga. Raisi ni Lissu
You need more than "nguvu ya Umma" kuwazuia hawa watu. Nguvu yetu ya Umm haijaweza so far kufanya kitu. Nguvu ya Umma pekee ni kupiga kura kwa wingi kuwakataa wote wasiofaa ili hata wakati wa kudoctor data hizo model zifail.
 
Hizi picha zimezingatia uwepo wa Corona?
 
You need more than "nguvu ya Umma" kuwazuia hawa watu. Nguvu yetu ya Umm haijaweza so far kufanya kitu. Nguvu ya Umma pekee ni kupiga kura kwa wingi kuwakataa wote wasiofaa ili hata wakati wa kudoctor data hizo model zifail.
Basi itumike nguvu ya 'beberu.'
 
CDM fungueni utube site...wekeni hotuba zote za Lissu...kila kijiji kina watu wana smart phone.... ambao hawana watachanga hela wanunue bando wampatie mwenye simu afungue site..

TV zote zishabigwa bit..wakeup.
Ndio maana tulishauri sana kuhusu ujenzi wa ofisi za Chama.
Ingekua rahisi kuweka hata TV na kuonyesha matukio ya Lisu yaliyorikodiwa.
Hotuba zake tangu awamu ya NNE ni za kinabii.
 
https://www.jamiiforums.com/data/at...2077_32820673-81ED-4068-A694-79F6C38483F5.mp4
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 

Nimeona hata magazeti yote yameanza kuufyata kasoro gazeti moja tu MWANANCHI NA KWA MBAAALI MTANZANIA .
Sasa ni kususia magazeti hayo watu wasinunue. Sasahivi turejeee kwa YouTube na social media kila mkereketwa wa vyama vya upinzani awe anatuma habari za upinzani hasa vyama viwili

Chadema na ACT WAZALENDO
Hii itakuwa fundisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…