Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha habari kuhusu commital proceedings lazima vipeleke maombi mahakamani.
Ndio basi kesi imeingia gizani. Tutakuja tu kusikia hukumu. Wanaficha hapa, na wakienda mahakama kuu pia ni kificho. Hii ni unprecedented katika nchi ya "kisiwa cha amani"
CCM IPO kwenye anguko haya tunayoyaona ni njia ya kuelekea makaburini ,watatumia kila Aina ya mbinu na bado watafeli Tu ni ngumu Sana kubishana na ukweli hapa duniani