Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Aniambie yuko wapi Dar niende kumvunja kiuno kwa virunguHaya we kaache kakibanda kako uone nini kitakutokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aniambie yuko wapi Dar niende kumvunja kiuno kwa virunguHaya we kaache kakibanda kako uone nini kitakutokea
Hahha nimecheka sana hadi bia yangu imemwagika [emoji28][emoji28]
aarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga.
Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba:
Muhimu:
- Wengi wanapoteza mitaji ambayo wamekopa.
- Wengi wao wanapelekwa kwenye maeneo ambayo hayana wanateja. Wafanyabiashara hapa wataelewa ila wasomi hawawezi elewa.
- Kuna vipigo vinaendelea na manyanyaso ya kimya kimya. Hawana uhuru wa kudai hadi zao.
- Zoezi linaendeshwa kininja sana. Wanadai mda walio pewa hautoshi kutafuta maeneo wanayo ona yanafaa kufanyie biashara yaani yenye wateja. Badala yake wameanza kula mitaji na kubaki makapuku.
1. Rais afuatilie vizuri vinginevyo tukutane 2025 tuone kura zinatoka wapi.
2. Kama vyombo vya Habari vikiendelea kuzibwa midomo basi tuhesabu maimivu huko tuendako.
Kwa hiyo ilivyofanyika 2020 iendelee hivyo hivyo?Wakati dhalimu anadhibiti vyombo vya habari ulikuwa kimya maana ulikuwa mfaidika wa udhalimu wake. Wakati wa uchaguzi na chaguzi nyingine zote za marudio kunafanyika wizi, ukatili na uhayawani wa wazi uliona sawa vyombo vya habari kudhibitiwa. Leo wezi wengine ambao sio sukuma gang wako madarakani unajiliza kuhusu uhuru wa vyombo vya habari. Unasema mkutane 2025 uone kura zitatoka wapi, kwani dhalimu 2020 alitangazwa mshindi kwa kura halali?
Mm mwenyewe nilikuwa natafakar hii neno la tukutane 2025 nikawa sielewiUzi umekuwa wa kiphumbavu zaidi sana pale uliposema tukutane 2025..wewe ni tume ya uchaguzi,polisi au Usalama??
Kweli kabisa! Utafika muda Watanzania watazoea kuwa bidhaa zinatakiwa kwenda kununuliwa maeneo ambayo ni rasmi sio unanunua chini ya barabara!Kwa kiasi kikubwa zoezi limeenda au linaenda vizuri, kasoro ndogondogo na vivutano vya hapa na pale kamwe haviwezi kukosekana; hata mtu ukiwa unahama tu mwenyewe huko mtaani kujikwaruza wakati unatoa vitu nje ni kawaida tu sembuse hili. Hali hii ya zoezi hili kwenda salama ukweli ni kuwa limewaumiza sana wapigania legacy.....limewaumiza sana sana sana kwani hawakutegemea kabisa.
Baada ya kuona hivyo, sasa watakuja na kila aina ya uzushi na ukuzaji wa jambo hili ili muradi tu kuharibu taswira nzima. Hata hivyo, wamechelewa mnoooo kwani 90% ya machinga wameshaanza kulielewa.
Viongozi waendelee kutoa elimu na msaada wa huduma kwa hawa watu kama walivyoahidi ili kuwazuia wazushi na vizabizabina kupotosha. Huko waliko, mwanzo unaweza kuwa mgumu, lkn nina uhakika baada ya muda mfupi watu watazoea na biashara itashamiri km kawa!
Wewe kura yako kaa nayo tu wala hamna mwenye shida nayo 🐒Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga.
Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba:
Muhimu:
- Wengi wanapoteza mitaji ambayo wamekopa.
- Wengi wao wanapelekwa kwenye maeneo ambayo hayana wanateja. Wafanyabiashara hapa wataelewa ila wasomi hawawezi elewa.
- Kuna vipigo vinaendelea na manyanyaso ya kimya kimya. Hawana uhuru wa kudai hadi zao.
- Zoezi linaendeshwa kininja sana. Wanadai mda walio pewa hautoshi kutafuta maeneo wanayo ona yanafaa kufanyie biashara yaani yenye wateja. Badala yake wameanza kula mitaji na kubaki makapuku.
1. Rais afuatilie vizuri vinginevyo tukutane 2025 tuone kura zinatoka wapi.
2. Kama vyombo vya Habari vikiendelea kuzibwa midomo basi tuhesabu maimivu huko tuendako.
Usitishie watu na kura yako, hata bila hiyo watu watashinda tu.
Kabla hujaja kuanza kutishia ukowa nyuma ya keyboard sijui kura wala nini.Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga.
Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba:
Muhimu:
- Wengi wanapoteza mitaji ambayo wamekopa.
- Wengi wao wanapelekwa kwenye maeneo ambayo hayana wanateja. Wafanyabiashara hapa wataelewa ila wasomi hawawezi elewa.
- Kuna vipigo vinaendelea na manyanyaso ya kimya kimya. Hawana uhuru wa kudai hadi zao.
- Zoezi linaendeshwa kininja sana. Wanadai mda walio pewa hautoshi kutafuta maeneo wanayo ona yanafaa kufanyie biashara yaani yenye wateja. Badala yake wameanza kula mitaji na kubaki makapuku.
1. Rais afuatilie vizuri vinginevyo tukutane 2025 tuone kura zinatoka wapi.
2. Kama vyombo vya Habari vikiendelea kuzibwa midomo basi tuhesabu maimivu huko tuendako.
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga.
Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba:
Muhimu:
- Wengi wanapoteza mitaji ambayo wamekopa.
- Wengi wao wanapelekwa kwenye maeneo ambayo hayana wanateja. Wafanyabiashara hapa wataelewa ila wasomi hawawezi elewa.
- Kuna vipigo vinaendelea na manyanyaso ya kimya kimya. Hawana uhuru wa kudai hadi zao.
- Zoezi linaendeshwa kininja sana. Wanadai mda walio pewa hautoshi kutafuta maeneo wanayo ona yanafaa kufanyie biashara yaani yenye wateja. Badala yake wameanza kula mitaji na kubaki makapuku.
1. Rais afuatilie vizuri vinginevyo tukutane 2025 tuone kura zinatoka wapi.
2. Kama vyombo vya Habari vikiendelea kuzibwa midomo basi tuhesabu maimivu huko tuendako.
Awaulize Wapemba. Ni kitu gani hawajafanya.Uzi umekuwa wa kiphumbavu zaidi sana pale uliposema tukutane 2025..wewe ni tume ya uchaguzi,polisi au Usalama??