Vyombo vya habari vinewasaliti Wamachinga na Watanzania

Rudi kwenu kenge wewe
 
Nilijiuliza hata mimi,watu Hawa wanalalamika hawajatafutiwa maeneo Zaid ya kukejeliwa tu na Wana hoji ila hakuna vyombo vya habari vinavyoamua walau kufatilia kujua ukweli wa taarifa hizo
 
Kwa hiyo ilivyofanyika 2020 iendelee hivyo hivyo?
Ungana nasi kudai katiba mpya nchi iendeshwe kwa utawala wa sheria, na sio kwa utashi wa rais na genge lake kama alivyofanya mwendakuzimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…