Vyombo Vya Habari Vya CCM Maktaba mazungumzo Historia ya Muungano

Wewe mzee umekataa mpaka damu yako mwenyewe

Watoto wa kuwazaa mwenyewe umewatekeleza

Yule binti yako Sabina kaolewa jitaid uwatambelee
 
Beira...
Kwa kawaida ninapoona mtu analeta matusi na kashfa mie hukaa kimya sijibu.
Hapa huenda wewe unanifananisha mie na mtu mwingine mwenye jina kama langu.

Hii ndiyo sababu nimekujibu.
 
Mzee said iv mama yetu bibi titi Mohamed alizikwa wapi?
 
Mama yako Bibi Titi (mimi shangazi yangu) kazikwa Makaburi ya Kisutu:

1777210135848.png

1777210323312.png

Kaburi la Bibi Titi baada ya kutengenezwa
 
Back
Top Bottom