Vyombo Vya Habari Vya CCM Maktaba mazungumzo Historia ya Muungano

Wewe mzee umekataa mpaka damu yako mwenyewe

Watoto wa kuwazaa mwenyewe umewatekeleza

Yule binti yako Sabina kaolewa jitaid uwatambelee
 
Beira...
Kwa kawaida ninapoona mtu analeta matusi na kashfa mie hukaa kimya sijibu.
Hapa huenda wewe unanifananisha mie na mtu mwingine mwenye jina kama langu.

Hii ndiyo sababu nimekujibu.
 
Mzee said iv mama yetu bibi titi Mohamed alizikwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…