Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinaona fujo kwenye Uchaguzi wa Marekani kama uchaguzi wa nchi zinazoendelea

Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinaona fujo kwenye Uchaguzi wa Marekani kama uchaguzi wa nchi zinazoendelea

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Inaonekana kama kunaweza kutokea vurugu katika Uchaguzi wa Marekani kwa kuwa baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vimekuwa vikiripoti ghasia kutokana na meneo ambayo matokeo yake bado kutangazwa

Radio ya Iran imeripoti kuwa waandamanaji katika jimbo la Minneapolis, Seattle na Los Angeles hawaogopi polisi na wamejihami kwa silaha kutokana na madai mbalimbali ya uchaguzi

Gazeti moja la China limeandika, vurugu na silaha ni hali katika nchi zinazoendelea na kuona kinachoendelea Marekani kuwa ni kitu cha ajabu kwa kuwa ni nchi inayoonekana kuwa kielelezo cha Demokrasia

Habari kama hizo pia zimeripotiwa kwa vyombo vya habari vya Urusi wakionesha kuwa hawaridhiki jinsi mchakato wa uchaguzi unavyoendelea Marekani

===
The possible threat of violence in America, in the wake of the undecided election, continues to be a theme of media coverage in several countries. In some cases this ongoing narrative is aimed at undermining the US.

Iran's state radio has reported on clashes in Los Angeles, Seattle and Minneapolis, and asserts that protesters "are armed to the teeth and are not afraid of police".

"Violence, guns. These are often fixtures of elections in underdeveloped or developing countries," says a commentary in China's Global Times newspaper. "What is happening during the US election is something that we could have never imaged in this 'Beacon of Freedom'."

In Russia, TV stations are also showing footage of protests and protesters' clashes with police in New York and other cities.

Many commentators there note the outcome is likely to further divide the country. The heavyweight daily Kommersant describes the election as "the wildest in the country's history" and adds "the only guaranteed outcome... is a civil divide".

There is also dismay over how possible violence and other events may further undermine the country's democratic values and practices.

"The shame of America" a headline in Kenya's Standard newspaper calls it, against a black background and image of US forces carrying guns in a street.

Turkish media outlets have highlighted the “chaos” amid the ongoing vote-counting.

"The American president makes unfounded claims of fraud and hastily claims the election victory," notes one commentary in Germany's Frankfurter Allgemeine Zeitung.

The USA has "fallen into its biggest institutional and political crisis since Richard Nixon’s resignation", says another in Spain's El Mundo.

A cartoon in South Africa’s news site, the Daily Maverick, depicts Donald Trump holding a knife to the neck of the statue of liberty with the threat: “I win or the dame gets it”.

There is also acknowledgement that Trump's challenger Joe Biden is leading the polls, albeit slimly, and a consideration of what this means.

In Afghanistan the Rah-e Madaneyat newspaper asks: "Is Trump's victory the victory of the Taliban? Is Biden's victory the continuation of a republic in Afghanistan?"

A commentary on the pro-Iran Al-Mayadeen TV website said Gulf states were holding their breath as they waited to see if “the honeymoon with Trump” would continue.
 
Ingekuwa vyema watangaze Nevada ambako Biden ameshashinda ili kumalizia huu uchaguzi. Maana Trump hata kama atashinda matatu anakoongoza atakuwa na ECV 265 na less popular votes. Hivyo kazi inaisha. Vinginevyo wanataka shida.
 
Yaani hata hakujamalizwa kuhesabiwa....eti wako Mitaani...

Je demokrasia si UVUMILIVU na kufuata utaratibu?!!!

Ok ni Uhuru wao....watamaliza na SUPREME COURT!!
 
Hutosikia Jumuiya ya kimataifa yoyote wala balozi yeyote kaongelea mapungufu yoyote kuhusu chochote.

Ingekuwa huku kila siku,"We're concerned,kunde-choroko-maharage".
😂😂
 
Amsterdam anaongeleaje huu ukiukwaji wa hali ya juu wa demokrasia?
 
Hutosikia Jumuiya yoyote ya kimataifa wala balozi yeyote kaongelea mapungufu yoyote kuhusu chochote.

Ingekuwa huku kila siku,"We're concerned,kunde-choroko-maharage".
Trump ameigeuza Marekani imekuwa kama nchi za Afrika. Kweli Marekani nayo watu wameanza kulinda kura
 
Tulikuwa tunawaambia 'tuhuma' za wizi wa kura zipo kila mahali Duniani wakawa hawaamini

Wakaicheka Ccm kutumia Wasanii wakashangaa ma role modal wao wanawatumia kina Lilwyne na Lady Gaga

Wakiambiwa Ccm ni chama Kiongozi Duniani wasiwe wabishi
 
Back
Top Bottom