Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa zinafaidika nini kwa kuzusha uongo kuihusu Tanzania?, na hawa sources wao ambao ni Watanzania wenzetu, wanafaidika na nini kwa kuwa feed info za uongo, uzushi au kubuni?, what do they stand to gain?. Kuzusha uongo dhidi ya taifa lako na viongozi wake kwenye media za mabeberu ni uzalendo?!.

Ni muda mrefu baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa zikiwemo TV, Majarida na Online contents zao kutunga maurongo kuihusu Tanzania kumkashifu au kukashifu hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli, katika maendeleo ya Taifa letu Tanzania, wao watabeza, watakashifu na sometimes hata kumtukana rais wetu, swali la kujiuliza ni vyombo hivi, vinapata faida gani kwa kututungia uongo au kutuzushia na kumzushia rais wetu Magufuli tuhuma za uongo?. What do they get or what do they wish to achieve?.

Katika janga hili la Corona, rais wetu Magufuli anasifiwa duniani kote kwa hatua alizochukua kupambana na Corona, ikiwemo kugomea lockdown, sasa hebu soma makala hii ya gazeti la The Guardian la Uingereza, jinsi ilivyo shehenezwa mauongo na mauzushi kuihusu Tanzania na rais wetu Magufuli!.
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak

Wakati serikali yetu imetoa idadi ya vifo ni kwa huku Tanzania bara ni vifo 16 tuu, na walioambukizwa ni watu 489, hawa jamaa kupitia source wao, wanadai eti Tanzania inaficha idadi ya vifo na maambukizi ya Corona, wandai kuwa wao wameambiwa na source wao kuwa watu waliokufa kwa ugonjwa wa Corona kwa Dar es Salaam tuu pekee ni zaidi ya watu 400!, huku watu zaidi ya 20,000 wameambukizwa nchi nzima!. Huu ni uongo kabisa!, kama serikali yetu imesema waliokufa ni watu 16, then ukweli wa waliokufa ni 16, sasa hiyo idadi ya uongo na uzushi wanaipata wapi na kwa uongo kama huu una malengo gani?, wanapata faida gani kwa kuzusha uongo mkubwa kama huu?!.

Kwa faida ya wale wavivu kufuata links, nakuwekea makala yote, nikiainisha nini ni kweli, nini ni uongo na nini ni uzushi,
Coronavirus outbreak
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak
John Magufuli has repeatedly played down the threat from the pandemic
Jason Burke Africa correspondent
Wed 27 May 2020 17.43 BSTLast modified on Wed 27 May 2020 19.45 BST
President John Magufuli

  1. Opposition politicians in Tanzania have accused president John Magufuli of covering up a major outbreak of Covid-19 in the east African country - Hapa wanasema ni opposition politicians, ili ionekane Magufuli anapingwa na wanasiasa wengi wa upinzani, ukweli ni sio opposition politicians, bali ni mpinzani mmoja tuu!.
  2. Magufuli has repeatedly played down the threat from the pandemic and refused to impose a strict lockdown as many other leaders on the continent have. Hii ni kweli
  3. Instead the 60-year-old has encouraged the country’s 56 million inhabitants to keep working and socialising- hii ni kweli
  4. while a key ally announced a three-day “corona party” in Dar es Salaam, the commercial capital, this weekend to give thanks to God for what he claimed was a reduction in levels of infection. Hii pia ni kweli, ila rais Magufuli hana key allies, ana wasaidizi na wote wanalingana hakuna key allies!
  5. Tanzanian authorities have not released official date on infections for nearly a month, despite requests from the World Health Organization (WHO). Hii ni kweli
  6. There were 480 confirmed cases with 16 deaths on 29 April. Hii pia ni kweli.
  7. However, the opposition politicians say they believe there have been more than 400 deaths in Dar es Salaam and between 16,000 and 20,000 cases nationwide, according to their own ongoing research. Huu ni uongo mkubwa wa mwaka!. Hao watu 400 Dar Salaam alone!, wamezikwa wapi?!. Hiyo their own research kina nani hao na research hiyo wamefanya wapi?!.
  8. “The government say there are no patients in the hospitals but we know of three hospitals in Dar es Salaam where the ICU beds are all completely full,” said Zitto Kabwe, leader of the Alliance for Change and Transparency. - Huu pia ni uongo wa mwaka, kama serikali imesema kweli kuwa hakuna wagonjwa wa Corona mahospitalini, kwanini hawa wanamsikiliza Huyu mzushi?!. Kwani yeye ni dakitari?.
  9. Many African countries have been praised for their response to the coronavirus. Though testing has been patchy and the true extent of the spread of the virus is unknown, there are still only 3,600 deaths and 120,000 confirmed cases on the continent. Hii ni kweli
  10. Magufuli has rejected advice from the WHO on social distancing to restrict transmission of the disease- Huu ni uongo wa mchana kweupe na kumzingizia uongo rais wa nchi!. Ni lini rais Magufuli amekataa ushauri wa wataalamu wa WHO?!. Kila siku rais Magufuli anatuhimiza Watanzania tufuate ushauri wa kitaalamu, kila siku rais Magufuli amehimiza social distancing, na hata kwenye magazeti ya leo, kuna picha ya rais Magufuli akiendesha kikao cha cabinet with ample social distancing kubwa tuu!.
  11. while laboratory officials were suspended earlier this month after the president said he had secret tests performed in which a papaya and a goat tested positive. - hii ni kweli
  12. Colleges and sports events will restart next month, along with international flights. Hii ni kweli
  13. International experts have watched developments in Tanzania with dismay. Hii ni kweli, Watanzania tunaishi tuwezavyo na sio watakavyo, hivyo ni haki yao hao wataalamu wa kimataifa kushangaa!.
  14. Senior officials at the WHO have made repeated requests for permission to offer extensive assistance in the country’s fight against the pandemic. Huu ni uongo!, lini Tanzania tumekataa misaada yoyote ya kutoka kwa yeyote?. Lini WHO wamekataliwa kusaidia?. Tunakubali misaada ya aina zote ila hao watoa misaada wasituingilie mipango yetu!.
  15. Earlier this month, the US embassy advised that “all available evidence pointed to exponential growth” of Covid-19 cases in Dar es Salaam and other locations in Tanzania”, and warned that “many hospitals … have been overwhelmed in recent weeks”. Huu ni uongo wa mwaka. Hawa US ndio kubwa la mabeberu, balozi wao jana kaitwa foreign kwenda kujieleza, kwanini wanaeneza uongo kuwa mahospitalini wamefurika wagonjwa wa Corona, wakati kiukweli wagonjwa wamefunga!.
  16. The foreign ministry rejected the claim. Hii ni kweli, tumewagomea mabeberu hawa.
  17. Hassan Abbas, a government spokesman, said it would be impossible to cover up an outbreak and dismissed reports that hospitals were overwhelmed, noting that one, which has room for more than 160 patients, only had 11 in it. Huu ndio ukweli wenyewe, ila maadam Dr. Abbas alihojiwa as one of the sources na kisha hawa the Guardian wakaja na uzushi na uongo huu, then namtegemea Dr. Abbas atawapigia kukanusha hayo maurongo yao na mauzushi yao!. Uongo usipokanushwa, unageuka ukweli!.
  18. Magufuli cited several examples of improvement in a speech, notably at the Amana hospital in Dar es Salaam, where the number of patients reportedly dropped from 198 to 12. Huu ndio ukweli wenyewe wa hali halisi ya Corona Tanzania.
  19. But the opposition accused authorities of emptying clinics in order to counter international concern. Huu ni uongo, hawa opposition ni waongo!.
  20. “The government decongested these hospitals in order to prove the US wrong …-Huu ni uongo, wagonjwa wanapona na hakuna vifo tena zaidi ya vile 16. US are very wrong indeed!
  21. A number of patients were told to treat themselves at home. This will cause a very big problem in the next weeks,” Kabwe said.- Huu ni uongo wagonjwa wanapona kwa kupiga nyungu na hakuna any very big problem in the coming weeks
  22. The country’s neighbours fear that a major outbreak could spill over the country’s borders. Kenya imposed stringent testing measures on Tanzanian truck drivers after more than 50 of them tested positive for the virus in a single day. Hii ni kweli ila hili tayari ni resolved.
  23. Districts in Zambia which border Tanzania have some of the highest levels of infection in the country. Hii ni kweli ila Corona ni tatizo la dunia, it was wrong kutunyooshea vidole!.
  24. Though schools have been closed, churches in Tanzania have remained open. A devout Catholic, Magufuli has described the Covid-19 virus as “the devil” and said it cannot survive in the body of Christ. In mid-March he ordered three days of national prayers against the disease. Hii ni kweli
  25. The son of a peasant farmer, Magufuli faces elections to win a second term later this year. Hii ni kweli
  26. Experts describe the veteran politician, who has a doctorate in chemistry- hii ni kweli
  27. and won his nickname ‘The Bulldozer’ as a minister, as a populist who likes to fly in the face of convention. Sentence hii hata mimi imenipiga change, hizi lugha za wenzetu, aliyeelewa hapo, msaada afadhali!.
  28. “He’s set himself up as a firebrand leader who will do great things …. But he’s very popular and in charge of a dominant party. Hapa pia niko gizani msaada please!
  29. He’s in a fairly solid position,” said Prof Nic Cheeseman, an expert in African politics at Birmingham University. Hii ni kweli
  30. Magufuli was praised when he came to power in 2015 for his high-profile efforts to crack down on corruption but has grown increasingly authoritarian. Hii ni kweli
  31. “The problems with mistreatment are still continuing … There is a lot of pressure being put on the media,” said Kabwe.- Hii ni kweli.
  32. Albert Msando, a lawyer, was arrested in late April after a video circulated showing him distributing masks to journalists and talking about the importance of the news media’s role in informing the public, according to the Tanzania Human Rights Defenders Coalition. Hii ni kweli Msando alikamatwa sio kwa gawa barakoa bali kwa matamshi take uzushi kusema "hali ni mbaya"
  33. Three media organisations were fined for “transmission of false and misleading information” about the government’s response, and a newspaper had its online publishing license suspended. Hii ni kweli
  34. Erick Kabendera, an investigative journalist, is awaiting trial on what Amnesty says are “trumped up” money laundering charges. - huu ni uongo, ni kweli alikuwa na kesi ila imekwisha kitambo kwa plea bargain. Hawa Amnesty ni wazushi tuu, wanairipoti kesi, ila ilipoisha jamaa wame mute ili ionekane kuwa kesi bado ipo!.
  35. “People in Tanzania cannot express themselves,” said Roland Ebole, an Amnesty International researcher based in Kenya- huu ni uongo!, mbona tuko free sana tunajiexpress freely?!.

My Take
Hawa jamaa wanapata nini kwa kutuzushia uongo?. What do they stand to gain?. Na nyinyi Watanzania wenzetu mmafaidika na nini kwa kuwa vibaraka wa mabeberu na kutunga uongo kuhusu nchi yenu?!.
Uzalendo wenu uko wapi?.

Nawatakia Alhamisi Njema

Paskali.
 
Binafsi haijalishi ni nani au nani kikundi gani au chama gani.

Taifa gani au genge gani maadamu linakashfu Taifa kwa kivuli chao wao wana fikra pana na tuziishi fikra zao.

Basi kwangu mimi binafsi ni wapuuzi kama wapuuzi baadhi ya wapuuzi waliopo ndani ya Taifa.
 
Mkuu UK mbali kote huko? Tz tu kwenyewe kuna watu wazushi vibaya mno. Mwanzoni tuliwaamini ila imefikia hatua sio wa kuamini kabisa maana asilimia kubwa ya mambo wanayosema baadae yanabainika ni uongo. Mbaya zaidi kila kitu wanataka wawe wa kwanza kusema.

Kwa ujumla tunaishi kwenye dunia ambayo kila siku kunazalishwa mamilioni ya taarifa na kusambazwa kila dakika na kati ya hizo nyingi ni uongo au ukweli uliochezewa.
 
Pascal Mayalla,

Kupata ukweli wa nai mwongo kati ya viongozi wetu na hao wanaohita mabeberu, tungepata ushahidi ulio huru toka oande zote mbili bila kuweka vikwazo au vipingamizi.

Kitu kama kipo, kipotu na huwezi kuficha. Sasa wenzetu wako tofauti na huku kwetu. Wao wanasemaga ukweli wa jambo bila kuficha wala kujali madhara ambayo yatatokea kwa viongozi wake. Huku kwetu tunaficha ukweli ili kuwalinda wakuu.
 
awamu yenu ikipita itabidi tuwajengee masanamu.
Worst term ever, mnajaribu kupambana n hao mnaowakopa daily.
Ni kama kutukana wakunga.
Nchi zinazoendekea kiuhalisia kuna mikomo kwenye baadhi ya vitu, hasa kwenye afya za watu, anachokifanya meko ni kucheza na afya ya wananchi wake
 
M
awamu yenu ikipita itabidi tuwajengee masanamu.
Worst term ever, mnajaribu kupambana n hao mnaowakopa daily.
Ni kama kutukana wakunga.
Nchi zinazoendekea kiuhalisia kuna mikomo kwenye baadhi ya vitu, hasa kwenye afya za watu, anachokifanya meko ni kucheza na afya ya wananchi wake
Mchungaji fake wa river side ubungo atasoma hii post?
 
Back
Top Bottom