Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Watu wanafanya tafiti na kuja na majibu wewe unakuja kupinga bila tafiti! Mtu akikuita kuwa wewe ni mpumbavu utamlaumu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinara wa hayo mambo kwa sasa ni Zito, anamchukia sana Raisi Magufuli na uongozi wake, alishajiapiza atafanya kila mbinu kumdodosha Raisi Magufuli.My Take
Na nyinyi Watanzania wenzetu mmafaidika na nini kwa kuwa vibaraka wa mabeberu na kutunga uongo kuhusu nchi yenu?!.
Uzalendo wenu uko wapi?.
Nawatakia Alhamisi Njema
Paskali.
TCR walifungie ilo gazeti.Hii ni vita vya kiuchumiWanabodi,
Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa zinafaidika nini kwa kuzusha uongo kuihusu Tanzania?, na hawa sources wao ambao ni Watanzania wenzetu, wanafaidika na nini kwa kuwa feed info za uongo, uzushi au kubuni?, what do they stand to gain?. Kuzusha uongo dhidi ya taifa lako na viongozi wake kwenye media za mabeberu ni uzalendo?!.
Ni muda mrefu baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa zikiwemo TV, Majarida na Online contents zao kutunga maurongo kuihusu Tanzania kumkashifu au kukashifu hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli, katika maendeleo ya Taifa letu Tanzania, wao watabeza, watakashifu na sometimes hata kumtukana rais wetu, swali la kujiuliza ni vyombo hivi, vinapata faida gani kwa kututungia uongo au kutuzushia na kumzushia rais wetu Magufuli tuhuma za uongo?. What do they get or what do they wish to achieve?.
Katika janga hili la Corona, rais wetu Magufuli anasifiwa duniani kote kwa hatua alizochukua kupambana na Corona, ikiwemo kugomea lockdown, sasa hebu soma makala hii ya gazeti la The Guardian la Uingereza, jinsi ilivyo shehenezwa mauongo na mauzushi kuihusu Tanzania na rais wetu Magufuli!.
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak
Wakati serikali yetu imetoa idadi ya vifo ni 16, na walioambukizwa ni watu 489, hawa jamaa kupitia source wao, wanadai eti Tanzania inaficha idadi ya vifo na maambukizi ya Corona, watu waliokufa kwa ugonjwa wa Corona kwa Dar es Salaam tuu pekee ni zaidi ya watu 400!, huku watu zaidi ya 20,000 wameambukizwa nchi nzima!.
Uongo kama huu una malengo gani?, wanapata faida gani kwa kuzusha uongo mkubwa kama huu?.
Kwa faida ya wale wavivu kufuata links, nakuwekea makala yote, nikiainisha nini ni kweli, nini ni uongo na nini ni uzushi,
Coronavirus outbreak

John Magufuli has repeatedly played down the threat from the pandemic
Jason Burke Africa correspondent
Wed 27 May 2020 17.43 BSTLast modified on Wed 27 May 2020 19.45 BST
My Take
Hawa jamaa wanapata nini kwa kutuzushia uongo?. What do they stand to gain?. Na nyinyi Watanzania wenzetu mmafaidika na nini kwa kuwa vibaraka wa mabeberu na kutunga uongo kuhusu nchi yenu?!.
Uzalendo wenu uko wapi?.
Nawatakia Alhamisi Njema
Paskali.
Liomb msamaha k siku7TCR walifungie ilo gazeti.Hii ni vita vya kiuchumi
Mbona mada ya leo fupi mkuu.???Wanabodi,

Kweli Paskali jamaa ni waongo sana yaani sisi kwetu corona imeisha kabisa takwimu zipo vile vile hawazioni? Huko mpakani mwa kenya na uganda madereva wanapatikana na corona wengi ni "WA NCHI NYINGINE".Wakati serikali yetu imetoa idadi ya vifo ni 16, na walioambukizwa ni watu 489
Pascal Mayalla kwa kuweka "LINK" nawewe umekuwa msambazaji wa hiyo habari; mimi na wengingeo tusingeisoma kama siyo "LINK" yako.Wanabodi,
Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa zinafaidika nini kwa kuzusha uongo kuihusu Tanzania?, na hawa sources wao ambao ni Watanzania wenzetu, wanafaidika na nini kwa kuwa feed info za uongo, uzushi au kubuni?, what do they stand to gain?. Kuzusha uongo dhidi ya taifa lako na viongozi wake kwenye media za mabeberu ni uzalendo?!.
Ni muda mrefu baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa zikiwemo TV, Majarida na Online contents zao kutunga maurongo kuihusu Tanzania kumkashifu au kukashifu hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli, katika maendeleo ya Taifa letu Tanzania, wao watabeza, watakashifu na sometimes hata kumtukana rais wetu, swali la kujiuliza ni vyombo hivi, vinapata faida gani kwa kututungia uongo au kutuzushia na kumzushia rais wetu Magufuli tuhuma za uongo?. What do they get or what do they wish to achieve?.
Katika janga hili la Corona, rais wetu Magufuli anasifiwa duniani kote kwa hatua alizochukua kupambana na Corona, ikiwemo kugomea lockdown, sasa hebu soma makala hii ya gazeti la The Guardian la Uingereza, jinsi ilivyo shehenezwa mauongo na mauzushi kuihusu Tanzania na rais wetu Magufuli!.
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak
Wakati serikali yetu imetoa idadi ya vifo ni 16, na walioambukizwa ni watu 489, hawa jamaa kupitia source wao, wanadai eti Tanzania inaficha idadi ya vifo na maambukizi ya Corona, watu waliokufa kwa ugonjwa wa Corona kwa Dar es Salaam tuu pekee ni zaidi ya watu 400!, huku watu zaidi ya 20,000 wameambukizwa nchi nzima!.
Uongo kama huu una malengo gani?, wanapata faida gani kwa kuzusha uongo mkubwa kama huu?.
Kwa faida ya wale wavivu kufuata links, nakuwekea makala yote, nikiainisha nini ni kweli, nini ni uongo na nini ni uzushi,
Coronavirus outbreak
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak
John Magufuli has repeatedly played down the threat from the pandemic
Jason Burke Africa correspondent
Wed 27 May 2020 17.43 BSTLast modified on Wed 27 May 2020 19.45 BST
My Take
Hawa jamaa wanapata nini kwa kutuzushia uongo?. What do they stand to gain?. Na nyinyi Watanzania wenzetu mmafaidika na nini kwa kuwa vibaraka wa mabeberu na kutunga uongo kuhusu nchi yenu?!.
Uzalendo wenu uko wapi?.
Nawatakia Alhamisi Njema
Paskali.
Kwa kuwa kuna uhuru wa habari, na uhuru usio na mipaka, hakuna jinsi ya kuzuia habari, hata kama zimeoza na kutoa uvundo usiohimilika. La msingi, na ambalo nampa kongole Rais Magufuli, ni kuziba masikio huku ukiendelea kutekeleza mipango yako kufikia lengo ulilojiwekea.Wanabodi,
Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa zinafaidika nini kwa kuzusha uongo kuihusu Tanzania?, na hawa sources wao ambao ni Watanzania wenzetu, wanafaidika na nini kwa kuwa feed info za uongo, uzushi au kubuni?, what do they stand to gain?. Kuzusha uongo dhidi ya taifa lako na viongozi wake kwenye media za mabeberu ni uzalendo?!.
Ni muda mrefu baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa zikiwemo TV, Majarida na Online contents zao kutunga maurongo kuihusu Tanzania kumkashifu au kukashifu hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli, katika maendeleo ya Taifa letu Tanzania, wao watabeza, watakashifu na sometimes hata kumtukana rais wetu, swali la kujiuliza ni vyombo hivi, vinapata faida gani kwa kututungia uongo au kutuzushia na kumzushia rais wetu Magufuli tuhuma za uongo?. What do they get or what do they wish to achieve?.
Katika janga hili la Corona, rais wetu Magufuli anasifiwa duniani kote kwa hatua alizochukua kupambana na Corona, ikiwemo kugomea lockdown, sasa hebu soma makala hii ya gazeti la The Guardian la Uingereza, jinsi ilivyo shehenezwa mauongo na mauzushi kuihusu Tanzania na rais wetu Magufuli!.
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak
Wakati serikali yetu imetoa idadi ya vifo ni 16, na walioambukizwa ni watu 489, hawa jamaa kupitia source wao, wanadai eti Tanzania inaficha idadi ya vifo na maambukizi ya Corona, watu waliokufa kwa ugonjwa wa Corona kwa Dar es Salaam tuu pekee ni zaidi ya watu 400!, huku watu zaidi ya 20,000 wameambukizwa nchi nzima!.
Uongo kama huu una malengo gani?, wanapata faida gani kwa kuzusha uongo mkubwa kama huu?.
Kwa faida ya wale wavivu kufuata links, nakuwekea makala yote, nikiainisha nini ni kweli, nini ni uongo na nini ni uzushi,
Coronavirus outbreak
Tanzanian president accused of covering up Covid-19 outbreak
John Magufuli has repeatedly played down the threat from the pandemic
Jason Burke Africa correspondent
Wed 27 May 2020 17.43 BSTLast modified on Wed 27 May 2020 19.45 BST
My Take
Hawa jamaa wanapata nini kwa kutuzushia uongo?. What do they stand to gain?. Na nyinyi Watanzania wenzetu mmafaidika na nini kwa kuwa vibaraka wa mabeberu na kutunga uongo kuhusu nchi yenu?!.
Uzalendo wenu uko wapi?.
Nawatakia Alhamisi Njema
Paskali.
"Mauongo na mauzushi" ,mkuu hebu rekebisha hayo maneno kwanza, wewe ni muandishi mkubwa kwenye kamusi hatuna maneno kama hayo mkuu.
Hii ishu ungeipeleka Facebook ndio kuna mataga wenzio mkadiscuss huku umekoseaWanabodi,

Wanabodi,