Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,479
- 2,877
Mkuu Paskali, wewe ni profession journalist wenye uwezo mkubwa na kwa sasa una hadhi ya ku-mentor wengine kama "mhandisi mshauri".
Licha ya vyombo vya ughaibuni kiripoti habari mbaya za Tanzania kwa lugha yao, hebu tujiulize kwa kina
BBC Swahili
DW Kiswahili
RFI
VoA Swahili
Taarifa wanazotoa kwa asilimia kubwa ni zipi?
Pamoa na huo uhuru walio nao; je kwa maudhui yao, ni mangapi mema ya Afrika yanakuwa celebrated??
Ukiwa nje ya Tanzania/Afrika Mashariki na kusikiza idhaa za kiswahili, unaweza kudhani nyumbani hali si hali.
Ila ukirejea unakuta picha inayokuwa painted in matatizo tu.
Does it mean hawa Waafrika na Watanzania wenzetu hawaoni fursa za uchumi/biashara zikawa habari kwa asimilia kubwa ya maudhui??
In most cases ukisikiza idhaa za Kiswahili, unashangaa jinsi vijana wetu nao washajua habari za vurugu, wanasiasa kuzodoana hizi ndiyo zinauza kwenye front pages.
Ni tutakuwa na mjadala namna gani tunapunguza pengo la walio nancho na wasio nacho kwa kutumia rasilimali za ndani?
Namna gani chai iwe processed na kufungashwa katika ubora wa kimataifa na kuuza kwa brand ambayo iko marketable kwenye consumables markets?
Unless we own our media to tell us who we're nazo ziwe na thinkers kama weww Paskali.
With time, narrative ya Africa itabadilika.
Fred