Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

Mkuu Paskali, wewe ni profession journalist wenye uwezo mkubwa na kwa sasa una hadhi ya ku-mentor wengine kama "mhandisi mshauri".

Licha ya vyombo vya ughaibuni kiripoti habari mbaya za Tanzania kwa lugha yao, hebu tujiulize kwa kina
BBC Swahili
DW Kiswahili
RFI
VoA Swahili

Taarifa wanazotoa kwa asilimia kubwa ni zipi?
Pamoa na huo uhuru walio nao; je kwa maudhui yao, ni mangapi mema ya Afrika yanakuwa celebrated??

Ukiwa nje ya Tanzania/Afrika Mashariki na kusikiza idhaa za kiswahili, unaweza kudhani nyumbani hali si hali.

Ila ukirejea unakuta picha inayokuwa painted in matatizo tu.

Does it mean hawa Waafrika na Watanzania wenzetu hawaoni fursa za uchumi/biashara zikawa habari kwa asimilia kubwa ya maudhui??

In most cases ukisikiza idhaa za Kiswahili, unashangaa jinsi vijana wetu nao washajua habari za vurugu, wanasiasa kuzodoana hizi ndiyo zinauza kwenye front pages.

Ni tutakuwa na mjadala namna gani tunapunguza pengo la walio nancho na wasio nacho kwa kutumia rasilimali za ndani?

Namna gani chai iwe processed na kufungashwa katika ubora wa kimataifa na kuuza kwa brand ambayo iko marketable kwenye consumables markets?

Unless we own our media to tell us who we're nazo ziwe na thinkers kama weww Paskali.
With time, narrative ya Africa itabadilika.

Fred
 
Kama Marekani mwenye kutoa rekodi kubwa za vifo na maambukizi bado anatuhumiwa kwa kuficha taarifa ndio iwe asiyetoa kabisa?
Hii taarifa naiamini kulingana na hatua tulizozichukuwa. Hata pamoja na uimara wetu wa kinga si wa kuishia idadi ya taarifa ya serikali. Tunachanganya na za kwetu
 
Asante sana P. wengine tulizana labda ni hapa tz tu hawa wasaliti wakina Zito ndiyo hawampendi kumbe hata mabeberu hawampendi rais wetu mpendwa!!

Nashauri haya madini ungeyapeleka hata kwa wananchi wa kawaida zaidi kwa kupitia radio, runinga na magazeti ili nao wajue sio Tanzania tu anachukiwa badi hata mabeberu hawampendi.
 
Bado kuna wengi wanaodandia gari kwa mbele.
 

Attachments

  • IMG-20200510-WA0005.jpg
    72.1 KB · Views: 1
Kwa kweli inashangaza sana! Sina hakika kama hata idadi ya wagonjwa wanaokufa Dar licha ya Corona kama wanafikia idadi hiyo! 🤔 😷
Niseme tu ni kutoakana na Serikali kutokuwa wazi kuhusu taarifa za Wagonjwa wa Covid 19 baada ya kuthibitisha kuwa Vipimo vinavyopima vinatoa majibu feki baada ya kuonyesha mapapai nayo yana Covid 19.
 
Na hao mabalozi wanashindwa kutetea ujinga na upumbavu wa jiwe Ujinga umezidi
 
. Tanzanian authorities have not released official "date" on infections for nearly a month, despite requests from the World Health Organization (WHO).
===
Mimi hii sentensi hapo juu sijaielewa msaada tafadhali aliyeelewa.
 
Pascal Mayala! Umeandika vizuri lakini ameshindwa kutupa idadi sahihi unayoijua, unanifanya mimi nisikuamini. Ili mtu aonekane muongo mpe idadi ya ukweli badala ya kututaka sisi tukuunge mkono bila ya wewe kutupa ukweli.
Kajipange upya Mayala.
 
Hawapati faida ila kitendo cha vyombo vyetu kunyamazia huu uhuni wa swrikali ndio inaleta tatizo kwa watz....
 

Attachments

  • IMG-20200527-WA0012.jpg
    87.4 KB · Views: 1
Unaweza fikiri unaitetea serikali kumbe hata unao wasemea wanakushangaa nakukudharau... Why? Sio kaz yako na wala hujuwi siasa za kimataifa mambo mengine bora upotezee uheshimike. Sasa ule uzi siku yake utakufanya utafute mlima ukufukie... Why? Kuandika mambo ambayo watu wanakushangaa nakujiuliza mara elfu masala bila majibu.
 
Pa
Pascal nadhani swara la corona halina ushindani kwamba tutapata tuzo kwa kupunguza vifo au kupata vifo vingi,
Na wala hakuna madai kuwa waliokufa watalipwa na serikari au na WB au IMF au WHO, sasa kwamba kama idaidi iatafichwa basi hao watapata hasara, ni ujinga na urofa kwa watoa taarifa, na pengine ni stress kuelekea uchaguzi. Lakini wakumbuke, watasema uongo lakini maisha yataendelea,

Na hao wanaopewa taarifa kila siku wanazidi kutoa ushirikiano na serikari wao wanabaki na urofa tu
Mungu ibaliki Tanzania.
 
Wana Dar 400 wamekufa kwa corona halafu et Dar hiyohiyo ndio imefanya Corona party, hivi kweli hao wana Dar hawana hata vifo vilitokea kwa ndugu zao mia 400? Yani pamoja na kufiwa na jamaa zetu 400 ila ndio kwanza kila siku tunapuuzia maelekezo ya wataalamu ya kujinga na virusi vya corona, hili suala linashangaza navyoona sio serikali kuficha takwimu bali itakuwa inawarogezea watu kusahau ndugu zao kuwa wamekufa na gonjwa hatari la covid 19 na ndio maana watu hawajari kabisa kuwa wanapukutika na corona.
 
Can you prove the innoncense of whom you defend?

Can you prove Mauongo ya wao katika waliyoyasema?

Can u prove sisi tunatumika na mabeberu katika kusema tunayoyaona?
 
Sasa hapo uongo uko wapi mbona kila kitu ni ukweli kama ambavyo serikali yako haipendi ukweli hivyohivyo na wewe hupendi ukweli.
Tuonyeshe hayo makaburi ya watu 400 wanaosemekana wamekufa Dar es Salaam...pia tuthibitishie hayo maambukizi ya watu 20,000
 
  • Magufuli.
  • Bashite.
  • Gwajima.
  • Dudu Baya.
  • H. Baba
  • Mayalla.

Aisee, Wasukuma awamu hii sijui wamepatwa na JINI Gani, Daaah !!
Hapana mwenzangu, ni sisi Watanzania ndio tumepatwa na sina hakika kama tutachomoka kirahisi. Tuombe sana.
Kati ya hao waliokufa ndugu zako wangapi walikuafa bwashee?
Nilikuwa nikidhani Watanzania wote ni ndugu zangu...je nilikosea?
 
K

Kuna raia wa Kenya walipima positive wakiwa Uganda. Waliporudi Mombasa wakapima ikawa negative.
Mtu anaeugua Covid -19 anaweza endesha gari km 200? Mambo mengine tuwe tunajiuliza.
Kivipi kujiuliza? Wataalamu si wamesema karibu 80% wanapata korona na hawaonyeshi dalili yeyote ya kuumwa so its possible kuganyaga pedal 200km!! Mie najiuliza kwanini "MADEREVA WA NCHI NYINGINE" ndio wanakutwa na korona kwenye mipaka ya Uganda,Kenya na Rwanda? Halafu wanapotoka hao "MADEREVA WA NCHI NYINGINE" kwao korona hakuna kabisa!!
 
Economic conspiracy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…