Vyombo vya Habari vya Kimataifa vyatangaza maandamano ya CHADEMA leo Septemba 23

Vyombo vya Habari vya Kimataifa vyatangaza maandamano ya CHADEMA leo Septemba 23

Ni muhimu sana Dunia nzima ikaelewa jambo hili muhimu sana, vizuri.

Kwamba,
when it comes to the issue of peace and unit of the nation, Tanzanian government has zero tolerance to the ones endangeres security of the Nation in one way or another...

Hatutakubali,
na tunataka dunia nzima ielewe hivyo, kwamba kwenye suala la Amani Tanzania, hakuna mzaha wala huruma kwa wanatamani na kupanga kuvuruga 🐒
Zero tolerance on opposition! What a dictatorship.
 
Ni muhimu sana Dunia nzima ikaelewa jambo hili muhimu sana, vizuri.

Kwamba,
when it comes to the issue of peace and unit of the nation, Tanzanian government has zero tolerance to the ones endangeres security of the Nation in one way or another...

Hatutakubali,
na tunataka dunia nzima ielewe hivyo, kwamba kwenye suala la Amani Tanzania, hakuna mzaha wala huruma kwa wanatamani na kupanga kuvuruga 🐒
Tatizo huko nje kwa aina ya tawala zao, maandamani si threat, so they dont look at it kama ww unavyo ona. Wenyewe wanachukulia kama ukandamizwaji

Mbowe na mambo yake hawezi kuwa threat kwa usalama wa nchi hata siku moja
 
Na Reuters

Septemba 23, 20242:04 PM GMT+3Ilisasishwa dakika 17 zilizopita

NAIROBI, Septemba 23 (Reuters) - Polisi wa Tanzania waliwakamata viongozi wawili wa upinzani tena siku ya Jumatatu, chama chao na polisi walisema, kusitisha maandamano ya kuipinga serikali katika mji mkuu wa kibiashara wa Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA Freeman Mbowe alizuiliwa mtaani, huku makamu wake Tundu Lissu akitolewa nyumbani kwake huku kukiwa na mipango ya kuandamana dhidi ya madai ya mauaji na utekaji nyara wa wakosoaji wa serikali.

Wanaharakati wa haki za binadamu wanasema kuwa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inalenga wapinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwezi Disemba na kura ya kitaifa mwaka 2025.

Polisi walisema watu 14 walikamatwa akiwemo Mbowe na Lissu kwa kukaidi katazo la maandamano hayo.

Hakukuwa na maoni ya mara moja kutoka kwa serikali ya Hassan, ingawa hapo awali ilisema inatetea demokrasia na haivumilii ukatili.

CHADEMA imesema kwenye mtandao wa kijamii wa X kuwa Mbowe alikamatwa maeneo ya Magomeni jijini hapa alipofika kuongoza maandamano ya amani. Msafara wa magari 11 ulimchukua Lissu na kuondoka bila kusema anakokwenda, iliongeza.
Sasa ni rasmi sifa zote alizokuwa anamwagiwa mkulu zimekanyagwa chini.
Ile filam yetu pendwa sijui kama otaleta matokeo chanya.
Wakati mwingine tujifunze kutumia busara kutatua matatizo yanayotukabili.
 
Hili ndio lilikuwa lengo kuu la chadema kutaka mataifa ya nje yajue udhalimu wa hii serikali na kwakufanya hivi bila shaka lengo limetimia Bora wangewaacha waandamane kuliko huu ujinga wa kutandaza polisi Kila Kona utafikir nchi Iko vitani, ingekuwa vyema hao polisi wangetandazwa huko ambapo Kila siku tunasikia watoto wadogo kabisa wametekwa na wengine kukutwa wameuwawa
Yes,
Ni muhimu na vizuri zaidi ulimwengu mzima ukafahamu kwamba, suala la amani na utulivu wa waTanzani, ni kipaumbele namba moja kwa serikali ya Tanzania na Taifa hili.

Na tunatumia gharama yoyote kulinda umoja, utulivu na mshikamano wa waTanzania bila mbambamba za mtu au Taifa lolote...

Ni furaha ya kipekee sana ikiwa dunia itajua na kulifahamu hili vizuri 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Yes,
of course all criminals will be arrested imeadiatly, and they will be puted together with the ones in police custody already ..

Tanzanian government has zero tolerance, when it come to the issue of peace and unit of the Nation.

The world must understand that completely 🐒
..puted together...

Hiki ni kiingereza Cha Kipemba!! Achana na kiingereza hukijui. Pambana tu na kiswahili kama sisi wenzako
 
Ni muhimu sana Dunia nzima ikaelewa jambo hili muhimu sana, vizuri.

Kwamba,
when it comes to the issue of peace and unit of the nation, Tanzanian government has zero tolerance to the ones endangeres security of the Nation in one way or another...

Hatutakubali,
na tunataka dunia nzima ielewe hivyo, kwamba kwenye suala la Amani Tanzania, hakuna mzaha wala huruma kwa wanatamani na kupanga kuvuruga 🐒
Hii doria iliyofanyika siku hizi tatu kama ingefanyika baada ya Mzee Kibao kutekwa nahisi wale majambazi wangepatikana na silaha zao. Mpaka sasa hivi tunamaliza wiki ya pili wamejificha hakuna hata mhisiwa mmoja aliyekamatwa.​
 
Wakishaelewa unapata nn?
 
Tatizo huko nje kwa aina ya tawala zao, maandamani si threat, so they dont look at it kama ww unavyo ona. Wenyewe wanachukulia kama ukandamizwaji

Mbowe na mambo yake hawezi kuwa threat kwa usalama wa nchi hata siku moja
wao waone watakavyo ona,

Ila ni muhimu na vema sana dunia nzima, wakaelewa vyema zaidi kwamba suala la amani na umoja wa Kitaifa Tanzania, halina mjadala. Amani Tanzania italindwa kwa nguvu zote bila kujali wao wanaelewa nini kuhusu maandamano ya Samia must go. au Mbowe ni threat au sio threat.

Ni muhimu wakafanya yao kwa uhuru wao ama niaje.
Hilo ni la maana zaidi gentleman 🐒
 
Hii doria iliyofanyika siku hizi tatu kama ingefanyika baada ya Mzee Kibao kutekwa nahisi wale majambazi wangepatikana na silaha zao. Mpaka sasa hivi tunamaliza wiki ya pili wamejificha hakuna hata mhisiwa mmoja aliyekamatwa.​
Na nina kuhakikishia itaendelea bila kukoma..

Muhimu zaidi, jiepushe na kujitenga na magenge ya kihalifu kwasababu utadakwa na utapata tabu sana gentleman 🐒
 
lakini uyu ngamia nguruu nikweli sisi kama watanganyika hatupendezwi naye ata kidogo kwanini

hasiachie nchi wenyewe
 
wao waone watakavyo ona,

Ila ni muhimu na vema sana dunia nzima, wakaelewa vyema zaidi kwamba suala la amani na umoja wa Kitaifa Tanzania, halina mjadala. Amani Tanzania italindwa kwa nguvu zote bila kujali wao wanaelewa nini kuhusu maandamano ya Samia must go. au Mbowe ni threat au sio threat.

Ni muhimu wakafanya yao kwa uhuru wao ama niaje.
Hilo ni la maana zaidi gentleman 🐒
Sasa ww unasema waone watakavyoo ona. Halaf unasema ni muhimu dunia kuelewa

Let me tell you this huku hawaelewi unavyotaka, mifumo ya kiutawala ni tofauti japo tz imeiga kwao. So wanachoona ni tofauti na unachotaka

Utahitaji nguvu kuwabadilisha watu nje, else hakuna maana
 
Yes gentleman,
wao wanaona kama wanavyoona, halafu sisi kama Taifa tunawaelewesha ipasavyo..

Sasa kama hawaelewi hilo ni Tatizo lao, na halituhusu sisi kama Taifa huru kwa namna yoyote ile.

M gentleman,
kwani upotofu wako kwenye jambo fulani lolote lili iwe kisiasa au kijamii, una husu nini kwenye usahihi wangu kwenye jambo hilo hilo?

sasa kama mifumo ya kiutawala ni tofauti, ubabaifu ni wa nini na hatufanani wala kulingana chachote kwenye utawala?

Hakuna haja ya kutumia nguvu kubadili uelewa wa wasiotuhusu hata kidogo.

Ni muhimu zaidi kulinda Amani, umoja na mshikamano wa waTanzani kwanza, tena kwa gharama yoyote ile 🐒
 
Of course! Clout chasing as always!

History will judge the outcome if it was all worth it, let's give Time some time.
 
Wakishaelewa unapata nn?
wakipata au wakikosa hiyo ni juu yao,

Ila Umoja, Amani na Utulivu wa waTanzani, utalindwa kwa gharama yoyote, na bila mbambamba ya mtu au nchi yoyote..

Ni vema hili likajulikana vizuri ulimwenguni kote 🐒
 
..puted together...

Hiki ni kiingereza Cha Kipemba!! Achana na kiingereza hukijui. Pambana tu na kiswahili kama sisi wenzako
msio jua English kumbe mko wengi hivi, mnakuja kufanya nini sasa huku?🐒

halafu uskute wew ni mwalimu kabisaa, na huwezi kuandika hata sentensi moja japo in broken way 🤣
 
Back
Top Bottom