Vyombo vya Habari vya Kimataifa vyatangaza maandamano ya CHADEMA leo Septemba 23

Zero tolerance on opposition! What a dictatorship.
 
Tatizo huko nje kwa aina ya tawala zao, maandamani si threat, so they dont look at it kama ww unavyo ona. Wenyewe wanachukulia kama ukandamizwaji

Mbowe na mambo yake hawezi kuwa threat kwa usalama wa nchi hata siku moja
 
Sasa ni rasmi sifa zote alizokuwa anamwagiwa mkulu zimekanyagwa chini.
Ile filam yetu pendwa sijui kama otaleta matokeo chanya.
Wakati mwingine tujifunze kutumia busara kutatua matatizo yanayotukabili.
 
Yes,
Ni muhimu na vizuri zaidi ulimwengu mzima ukafahamu kwamba, suala la amani na utulivu wa waTanzani, ni kipaumbele namba moja kwa serikali ya Tanzania na Taifa hili.

Na tunatumia gharama yoyote kulinda umoja, utulivu na mshikamano wa waTanzania bila mbambamba za mtu au Taifa lolote...

Ni furaha ya kipekee sana ikiwa dunia itajua na kulifahamu hili vizuri πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania.
 
..puted together...

Hiki ni kiingereza Cha Kipemba!! Achana na kiingereza hukijui. Pambana tu na kiswahili kama sisi wenzako
 
Hii doria iliyofanyika siku hizi tatu kama ingefanyika baada ya Mzee Kibao kutekwa nahisi wale majambazi wangepatikana na silaha zao. Mpaka sasa hivi tunamaliza wiki ya pili wamejificha hakuna hata mhisiwa mmoja aliyekamatwa.​
 
Wakishaelewa unapata nn?
 
Tatizo huko nje kwa aina ya tawala zao, maandamani si threat, so they dont look at it kama ww unavyo ona. Wenyewe wanachukulia kama ukandamizwaji

Mbowe na mambo yake hawezi kuwa threat kwa usalama wa nchi hata siku moja
wao waone watakavyo ona,

Ila ni muhimu na vema sana dunia nzima, wakaelewa vyema zaidi kwamba suala la amani na umoja wa Kitaifa Tanzania, halina mjadala. Amani Tanzania italindwa kwa nguvu zote bila kujali wao wanaelewa nini kuhusu maandamano ya Samia must go. au Mbowe ni threat au sio threat.

Ni muhimu wakafanya yao kwa uhuru wao ama niaje.
Hilo ni la maana zaidi gentleman πŸ’
 
Hii doria iliyofanyika siku hizi tatu kama ingefanyika baada ya Mzee Kibao kutekwa nahisi wale majambazi wangepatikana na silaha zao. Mpaka sasa hivi tunamaliza wiki ya pili wamejificha hakuna hata mhisiwa mmoja aliyekamatwa.​
Na nina kuhakikishia itaendelea bila kukoma..

Muhimu zaidi, jiepushe na kujitenga na magenge ya kihalifu kwasababu utadakwa na utapata tabu sana gentleman πŸ’
 
lakini uyu ngamia nguruu nikweli sisi kama watanganyika hatupendezwi naye ata kidogo kwanini

hasiachie nchi wenyewe
 
Sasa ww unasema waone watakavyoo ona. Halaf unasema ni muhimu dunia kuelewa

Let me tell you this huku hawaelewi unavyotaka, mifumo ya kiutawala ni tofauti japo tz imeiga kwao. So wanachoona ni tofauti na unachotaka

Utahitaji nguvu kuwabadilisha watu nje, else hakuna maana
 
Yes gentleman,
wao wanaona kama wanavyoona, halafu sisi kama Taifa tunawaelewesha ipasavyo..

Sasa kama hawaelewi hilo ni Tatizo lao, na halituhusu sisi kama Taifa huru kwa namna yoyote ile.

M gentleman,
kwani upotofu wako kwenye jambo fulani lolote lili iwe kisiasa au kijamii, una husu nini kwenye usahihi wangu kwenye jambo hilo hilo?

sasa kama mifumo ya kiutawala ni tofauti, ubabaifu ni wa nini na hatufanani wala kulingana chachote kwenye utawala?

Hakuna haja ya kutumia nguvu kubadili uelewa wa wasiotuhusu hata kidogo.

Ni muhimu zaidi kulinda Amani, umoja na mshikamano wa waTanzani kwanza, tena kwa gharama yoyote ile πŸ’
 
Of course! Clout chasing as always!

History will judge the outcome if it was all worth it, let's give Time some time.
 
Wakishaelewa unapata nn?
wakipata au wakikosa hiyo ni juu yao,

Ila Umoja, Amani na Utulivu wa waTanzani, utalindwa kwa gharama yoyote, na bila mbambamba ya mtu au nchi yoyote..

Ni vema hili likajulikana vizuri ulimwenguni kote πŸ’
 
..puted together...

Hiki ni kiingereza Cha Kipemba!! Achana na kiingereza hukijui. Pambana tu na kiswahili kama sisi wenzako
msio jua English kumbe mko wengi hivi, mnakuja kufanya nini sasa huku?πŸ’

halafu uskute wew ni mwalimu kabisaa, na huwezi kuandika hata sentensi moja japo in broken way 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…