Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #61
Kama hivi…Ujaona kama hamas wamekiri kuwaua
View: https://x.com/zainabali_72/status/1860744753559523455?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hivi…Ujaona kama hamas wamekiri kuwaua
Yahudi jeusi la Iramba hata alijui linataka kusema nini kuna Gaidi zaidi ya Netanyahu, watu wana RB yake.Sema mnasoma Israel anaua watoto ana wanawake ila viongozi WA magaidi wanapungua Tu afu Israel anaepigwa hawapungui viongozi ndo hua sielewi hua Israel mnampiga wapi!?
Hapana Israel anatembezewa kichapo sema haruhusu media zichukue, we video na picture unazo ona ni 1/10 ya kipigo original.Hapa ndio pazuri wangeangusha chuma cha maana
Shida rocket zao naona hazina nguvu sana.
Wangeomba mabomu ya maama, kikipigwa chuma ni taharuki mji mzima.
Majibu ya kupiga watoto na wanawake au kuvunja majumba 😆 Hezbullah anasema sio USA au Nato wanaweza kuvunja silaha zao, achana na yule Israel.Safi sana, sasa tusubirie majibu kutok kwa USA na Israel.
Sasa Hezbullah awana hofu wanajua yahudi kuja Lebanon asubutu zaid kesho utasikia majengo kayashusha mji mkuu ana akili mpya kama zamani kipindi ichi ndio tungeona tungesema makomando wanaenda safisha kusini ya Lebanon lkn wapi zile story ilikuwa mapichapicha uyo komando mwenyewe miaka 18 au 22 chembamba japo kavaa makoti manene lkn mtu nyama ana kitoto cha form 1 et ndio komando la ISRAEL wakupigana n Dunia!!!Safi sana, sasa tusubirie majibu kutok kwa USA na Israel.
Biblia🤠🤠🤠....agano la kale au jipya ndo limesema hivyo....maana kitabu kinakuwa updated Kila mda na ww unavyoendaenda tu unakubali....kuna nyaraka imevuja ya suspected mossad agents wapatao 35000 ambao wamekuwa listed kwa majina na address zao huko walipo....Babu Gallant hataki unyonge....wamemtumbua na yy anafanya yake nyuma ya pazia🤠🤠🤠....Israel haitakuwa salama mpk irudi kwny asili ya uyahudi halisi sio hii political movement ya uzayuni....uyahudi unahubiri amani sio mabavu ya kuua na kuchukua ardhi za watu lakini sadly matamanio ya viongozi ndo yanaleta majanga yte haya....Hilo nakubali kuna hujuma na watamkamata tu ila maandiko ya Biblia yanasema lebanoni itaangamizwa.
Hii kitu walizoea kuona kwenye television tu sasa wanaiona live.
Mpaka sasa zaidi ya Waisrael milioni 2 wameondoka na kurudi Ulaya.
Israhell ikipiga Beirut itatwangwa teli avivu na ndio kinacho tokea watapigwa kama watavyopigaWewe ngoja kilio kinakuja..............naona sasa watasema inchi nzima waisrael wakamatwe maana kipigo chake hakitokuwa na simile
Kuna mapunguani humu huu unyama anaofanya Israel wanafurahia kwa watoto wa Gaza.
View: https://x.com/redcollectiveuk/status/1860806312264708445?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ritz Shetanyahu kakubali kusimamisha vita huko Lebanon kichapo alicho tembezewa jana si cha kawaida. Je Hezbullah atakubali bila vita vya Gaza kusimamishwa. Sababu serekali ya Lebanon imekubaliana na US bada ya kuhongwa pesa na US, Saud Arabia na UAE.
Hakuna watu makhaini kama warabu hao wa Lebanon, wanataka Hezbullah wasimsapoti Hamas shenzi type. Mimi nilikiwa nataka Israel aseme hasimamishi vita Lebanon mpaa yale masharti yake alio enda nayo yatimie 😄 🤣
Hezbullah anyan'gan'ywe silaha, arudishwe nyuma ya mto Letani na lazima wakimbizi waisrael warudi North naona nyau kayawachilia mbali. Mungu amlani US kaenda kumuokoa huyo shoga wake alikuwa yupo kwenye dalili yakukataa roho. Kwanini US anapiga veto vita vya Gaza kusimamishwa kwani kwa Hezbullah kakimbia mbio mbio kuhonga mabillion ili vita visimame.
View: https://youtu.be/f-Q7-9OKrdc?si=U92IIdk49quHr405