Vyombo vya habari vya Kizayuni vinaripoti siku ngumu kaskazini mwa nchi, roketi zanaruka kama ndege

Safi sana, sasa tusubirie majibu kutok kwa USA na Israel.
 
Sema mnasoma Israel anaua watoto ana wanawake ila viongozi WA magaidi wanapungua Tu afu Israel anaepigwa hawapungui viongozi ndo hua sielewi hua Israel mnampiga wapi!?
 
Hapa ndio pazuri wangeangusha chuma cha maana

Shida rocket zao naona hazina nguvu sana.

Wangeomba mabomu ya maama, kikipigwa chuma ni taharuki mji mzima.
Hapana Israel anatembezewa kichapo sema haruhusu media zichukue, we video na picture unazo ona ni 1/10 ya kipigo original.

Hezbullah leo katumia Rocket mpya ambazo warhead yake ni karibu
Safi sana, sasa tusubirie majibu kutok kwa USA na Israel.
Majibu ya kupiga watoto na wanawake au kuvunja majumba 😆 Hezbullah anasema sio USA au Nato wanaweza kuvunja silaha zao, achana na yule Israel.

Kwa tarifa yako Israel analia eti Yemen wapo kwenye border yao wana mlaumu USA 😄

View: https://youtu.be/qYWkgv8lqA8?si=HBvTWm0HxP0uQs5r
 
Safi sana, sasa tusubirie majibu kutok kwa USA na Israel.
Sasa Hezbullah awana hofu wanajua yahudi kuja Lebanon asubutu zaid kesho utasikia majengo kayashusha mji mkuu ana akili mpya kama zamani kipindi ichi ndio tungeona tungesema makomando wanaenda safisha kusini ya Lebanon lkn wapi zile story ilikuwa mapichapicha uyo komando mwenyewe miaka 18 au 22 chembamba japo kavaa makoti manene lkn mtu nyama ana kitoto cha form 1 et ndio komando la ISRAEL wakupigana n Dunia!!!
 
WAYAMEN huu mwezi wa3 wapo njian tunda sikuzote nizo apana awajamaa wakiingia Israel tutusikia vilio sasa vyakweli mabint wa ki Israel wanaenda tagishwa rasmi ongelenii waIsrael wa Butimba Bukoba kisala karibu Wayemen wanaenda kuwa mashemeji zenu nawaonea gele wazayuni w kimala kupata mashemej wajuba km Wayemen mume Barikiwa sana!! ,
 
Hilo nakubali kuna hujuma na watamkamata tu ila maandiko ya Biblia yanasema lebanoni itaangamizwa.
Biblia🤠🤠🤠....agano la kale au jipya ndo limesema hivyo....maana kitabu kinakuwa updated Kila mda na ww unavyoendaenda tu unakubali....kuna nyaraka imevuja ya suspected mossad agents wapatao 35000 ambao wamekuwa listed kwa majina na address zao huko walipo....Babu Gallant hataki unyonge....wamemtumbua na yy anafanya yake nyuma ya pazia🤠🤠🤠....Israel haitakuwa salama mpk irudi kwny asili ya uyahudi halisi sio hii political movement ya uzayuni....uyahudi unahubiri amani sio mabavu ya kuua na kuchukua ardhi za watu lakini sadly matamanio ya viongozi ndo yanaleta majanga yte haya....
 
Ritz Shetanyahu kakubali kusimamisha vita huko Lebanon kichapo alicho tembezewa jana si cha kawaida. Je Hezbullah atakubali bila vita vya Gaza kusimamishwa. Sababu serekali ya Lebanon imekubaliana na US bada ya kuhongwa pesa na US, Saud Arabia na UAE.

Hakuna watu makhaini kama warabu hao wa Lebanon, wanataka Hezbullah wasimsapoti Hamas shenzi type. Mimi nilikiwa nataka Israel aseme hasimamishi vita Lebanon mpaa yale masharti yake alio enda nayo yatimie 😄 🤣

Hezbullah anyan'gan'ywe silaha, arudishwe nyuma ya mto Letani na lazima wakimbizi waisrael warudi North naona nyau kayawachilia mbali. Mungu amlani US kaenda kumuokoa huyo shoga wake alikuwa yupo kwenye dalili yakukataa roho. Kwanini US anapiga veto vita vya Gaza kusimamishwa kwani kwa Hezbullah kakimbia mbio mbio kuhonga mabillion ili vita visimame.

View: https://youtu.be/f-Q7-9OKrdc?si=U92IIdk49quHr405
 
Yy hapigani na jeshi la Lebanon Bali anapigana na kundi la kigaidi Hezbollah kama wanavyoliita🤠🤠🤠....hayo makubaliano Hezbollah hayawahusu....wao walisema maroketi yataacha kwnda kutua pale Tel Aviv ikiwa mazayuni wataacha kuua wapalestina pale Gaza....hyo ndo ceasefire term Yao....vinginevyo mtanange uendelee.....hili taifa la mchongo hakuna lugha wanayoielewa zaidi ya vayolensi....wanatakiwa wadundwe kwlikwli Ili wajue kwmba hakuna mnyonge ila watu huwa wanaamua kuwa wastaarqbu tu
Ritz Shetanyahu kakubali kusimamisha vita huko Lebanon kichapo alicho tembezewa jana si cha kawaida. Je Hezbullah atakubali bila vita vya Gaza kusimamishwa. Sababu serekali ya Lebanon imekubaliana na US bada ya kuhongwa pesa na US, Saud Arabia na UAE.

Hakuna watu makhaini kama warabu hao wa Lebanon, wanataka Hezbullah wasimsapoti Hamas shenzi type. Mimi nilikiwa nataka Israel aseme hasimamishi vita Lebanon mpaa yale masharti yake alio enda nayo yatimie 😄 🤣

Hezbullah anyan'gan'ywe silaha, arudishwe nyuma ya mto Letani na lazima wakimbizi waisrael warudi North naona nyau kayawachilia mbali. Mungu amlani US kaenda kumuokoa huyo shoga wake alikuwa yupo kwenye dalili yakukataa roho. Kwanini US anapiga veto vita vya Gaza kusimamishwa kwani kwa Hezbullah kakimbia mbio mbio kuhonga mabillion ili vita visimame.

View: https://youtu.be/f-Q7-9OKrdc?si=U92IIdk49quHr405
 
Ritz Shetanyahu kakubali kusimamisha vita huko Lebanon kichapo alicho tembezewa jana si cha kawaida. Je Hezbullah atakubali bila vita vya Gaza kusimamishwa. Sababu serekali ya Lebanon imekubaliana na US bada ya kuhongwa pesa na US, Saud Arabia na UAE.

Hakuna watu makhaini kama warabu hao wa Lebanon, wanataka Hezbullah wasimsapoti Hamas shenzi type. Mimi nilikiwa nataka Israel aseme hasimamishi vita Lebanon mpaa yale masharti yake alio enda nayo yatimie 😄 🤣

Hezbullah anyan'gan'ywe silaha, arudishwe nyuma ya mto Letani na lazima wakimbizi waisrael warudi North naona nyau kayawachilia mbali. Mungu amlani US kaenda kumuokoa huyo shoga wake alikuwa yupo kwenye dalili yakukataa roho. Kwanini US anapiga veto vita vya Gaza kusimamishwa kwani kwa Hezbullah kakimbia mbio mbio kuhonga mabillion ili vita visimame.

View: https://youtu.be/f-Q7-9OKrdc?si=U92IIdk49quHr405

Hizbullah kusimamisha vita ni usaliti kwa wapalestina na hata kwa walebanon wenyewe ila wacha tuone watasemaje
 
Ritz Shetanyahu kakubali kusimamisha vita huko Lebanon kichapo alicho tembezewa jana si cha kawaida. Je Hezbullah atakubali bila vita vya Gaza kusimamishwa. Sababu serekali ya Lebanon imekubaliana na US bada ya kuhongwa pesa na US, Saud Arabia na UAE.

Hakuna watu makhaini kama warabu hao wa Lebanon, wanataka Hezbullah wasimsapoti Hamas shenzi type. Mimi nilikiwa nataka Israel aseme hasimamishi vita Lebanon mpaa yale masharti yake alio enda nayo yatimie 😄 🤣

Hezbullah anyan'gan'ywe silaha, arudishwe nyuma ya mto Letani na lazima wakimbizi waisrael warudi North naona nyau kayawachilia mbali. Mungu amlani US kaenda kumuokoa huyo shoga wake alikuwa yupo kwenye dalili yakukataa roho. Kwanini US anapiga veto vita vya Gaza kusimamishwa kwani kwa Hezbullah kakimbia mbio mbio kuhonga mabillion ili vita visimame.

View: https://youtu.be/f-Q7-9OKrdc?si=U92IIdk49quHr405

View: https://x.com/suppressednws/status/1860969512255787225?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom