Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Kwanza cha ajabu US anawaita Hezbullah ni magaidi vipi anaenda ongea na magaidi? Watasema tunaongea na Serekali ya Lebanon OK, lakini anaye pigana vita nani 😄 🤣Yy hapigani na jeshi la Lebanon Bali anapigana na kundi la kigaidi Hezbollah kama wanavyoliita🤠🤠🤠....hayo makubaliano Hezbollah hayawahusu....wao walisema maroketi yataacha kwnda kutua pale Tel Aviv ikiwa mazayuni wataacha kuua wapalestina pale Gaza....hyo ndo ceasefire term Yao....vinginevyo mtanange uendelee.....hili taifa la mchongo hakuna lugha wanayoielewa zaidi ya vayolensi....wanatakiwa wadundwe kwlikwli Ili wajue kwmba hakuna mnyonge ila watu huwa wanaamua kuwa wastaarqbu tu
Us kapiga veto kuhusu vita vya Gaza kusimama akidai yule US Ambassador wao kuwa eti passing the resolution would have sent a dangerous message to Hamas.