Vyombo vya habari vya Kizayuni vinaripoti siku ngumu kaskazini mwa nchi, roketi zanaruka kama ndege

Vyombo vya habari vya Kizayuni vinaripoti siku ngumu kaskazini mwa nchi, roketi zanaruka kama ndege

Yy hapigani na jeshi la Lebanon Bali anapigana na kundi la kigaidi Hezbollah kama wanavyoliita🤠🤠🤠....hayo makubaliano Hezbollah hayawahusu....wao walisema maroketi yataacha kwnda kutua pale Tel Aviv ikiwa mazayuni wataacha kuua wapalestina pale Gaza....hyo ndo ceasefire term Yao....vinginevyo mtanange uendelee.....hili taifa la mchongo hakuna lugha wanayoielewa zaidi ya vayolensi....wanatakiwa wadundwe kwlikwli Ili wajue kwmba hakuna mnyonge ila watu huwa wanaamua kuwa wastaarqbu tu
Kwanza cha ajabu US anawaita Hezbullah ni magaidi vipi anaenda ongea na magaidi? Watasema tunaongea na Serekali ya Lebanon OK, lakini anaye pigana vita nani 😄 🤣

Us kapiga veto kuhusu vita vya Gaza kusimama akidai yule US Ambassador wao kuwa eti passing the resolution would have sent a dangerous message to Hamas.
 
Hizbullah kusimamisha vita ni usaliti kwa wapalestina na hata kwa walebanon wenyewe ila wacha tuone watasemaje
Tatizo hapo Israel masharti yake yakusimamisha vita kayaondoa navyo sikia, sa serekali ya Lebanon inawalaumu Hezbullah eti wasi link vita vya Gaza na Lebanon. US anawatumia wale wakristo kina Samer Jaajah na Sami Gamil na huko kwa ma sunni kina Saad Harir na wenzao kumpiga pressure Nabil Barry yule kiongozi wa wabunge.

Mimi upande wangu sioni faida ya hi vita kusimama kama vita vya Gaza bado vinaendelea.
 
Kwanza cha ajabu US anawaita Hezbullah ni magaidi vipi anaenda ongea na magaidi? Watasema tunaongea na Serekali ya Lebanon OK, lakini anaye pigana vita nani 😄 🤣

Us kapiga veto kuhusu vita vya Gaza kusimama akidai yule US Ambassador wao kuwa eti passing the resolution would have sent a dangerous message to Hamas.
Halafu Hawa wapumbavu kule UN huwa wanapeleka wawakilishi ma black Ili ionekane race yetu ni watu wa ajabu.....lile fala huwa linanikera likiwa linainua mikono Kila resolution....neno terrorist inabidi Kila nchi iwe na definition yake...wao wakiona wenzao ni ma terrorist na wao nao waonekane ni ma terrorist vilevile kwa matendo yao wanayoyafanya
 
Tatizo hapo Israel masharti yake yakusimamisha vita kayaondoa navyo sikia, sa serekali ya Lebanon inawalaumu Hezbullah eti wasi link vita vya Gaza na Lebanon. US anawatumia wale wakristo kina Samer Jaajah na Sami Gamil na huko kwa ma sunni kina Saad Harir na wenzao kumpiga pressure Nabil Barry yule kiongozi wa wabunge.

Mimi upande wangu sioni faida ya hi vita kusimama kama vita vya Gaza bado vinaendelea.
Nandipo hapa nnapopasemea mie pia inatakiwa takwa la msingi liwe kuondoka mazayuni Ghaza kiufupi terms za hamas inatakiwa zifungamanishwe na hizbullah iwe ndio njia ya kuacha vita laa sivyo utakua usaliti kwa wapalestina kwa hamas pia hata kwa kina Nasrallah
 
Muimu tumeona alipeleka makomandoo kusini ya Lebanon kachapwa vibaya katoka mbiooo akaona atumie nguvu zake za Anga kuibomoa Beirut nako pia Kashindwa baada y Hezbullah kufanikiwa kuitwanga miji yake sasa anataka poooo wajuba w Hezbullah wanania kuifanya miji yao kama Gaza marekani kashtuka karusha taulo ulingoni!!!! Hezbulla walipodai sisi akuna wakuzuiya silaa zetu yoyote aje tutamnyolosha kufa sio kuzuli katema Bungo au bado vita iyendeleee
 
Hata Lebanon walijidai wamevunja silaha za Hezbullah kumbe wanapiga majumba. Walicho fanikiwa Lebanon ni kuweza kuwauwa kina Nasurlah, Seif Din na makamanda wa Hezbullah zaidi ya hapo hakuna walicho gain kwenye military strategy ni 10% labda.
Emu andika vizuri ata hufahamiki Lebanon wanavunja silaha za Hezbullah kivipi, wewe siju unaelewa nini kuhusu Lebanon na Hezbullah upo upo tu
 
Dah, INASIKITISHA mnoo, wanaume hatulii kizembe ila hapa moyo umeingiwa simanzi, nimevuta picha huyu ndio mwanangu, nimebeba hivi, moyo wangu ungejawa na ghadabu kiadi gani, kama sipati counseling nzuri kujivika mabovu nikafe na Netanyahu ni suala jepesi mnoo.
Na hii ndio sababu Israel hawawezi kushinda hii Vita..maana wanapandikiza chuki kwa watoto ambao wanakua kwenye mazingira ya Vita ..wanahasira na Israel kwa unyama wao
 
Zamani tulikuwa tunadanganywa sana kuwa Israel ni kiboko jeshi lao ma makomandoo wao hawashindwi kitu leo watu wanajipgia tu Makomandoo wao wamebakia kuuwa watoto na wanawake na kuvunja majengo😃
Kwahiyo hàyo makombora ya Hezbollah hayapigi wanawake na watoto wala hayabomoi majengo ila makombora ya Israeli ndo yanapiga wanawake na watoto na kubomoa majengo?
 
Kwahiyo hàyo makombora ya Hezbollah hayapigi wanawake na watoto wala hayabomoi majengo ila makombora ya Israeli ndo yanapiga wanawake na watoto na kubomoa majengo?
Wewe inaonekana siyo mfuatiliaji wa hivi vita.
Hezballah na Iran pamoja Hamas, kila siku wanasema hawana shida ya kupigq raia wala majengo wanaweza kufanya hivyo lakini wao wanalenga tagerts maneo ya jeshi kambi za jeshi ofisi za jeshi, tofauti na IDF wao wanapiga makombora hovyo na kuuwa raia hivyo.
 
Back
Top Bottom