TBC ni TV ya hovyo iliyosalia Duniani hawana hata Aibu kuwa mishahara yao inatokana na kodi za watanzania ambao wengi ni wapinzani.Nchi imekuwa kama choo. Mtu mmoja tu anafikiri kwa niaba ya watu milioni 60. Tuko kwenye udikteta kabisa. Nawashangaa TBC wanaripoti kutupwa kwa pingamizi na NEC ambalo hawakuripoti wakati linawekwa! Tuko kwenye ushenzi mkubwa. Na hii inaonyesha kuwa mabadiliko yatakuja kwa nguvu ya umma tu.
Watanzania siyo wajinga wanajua NECCCM imemubeba imemlinda mtukufu mwenyekiti wa CCM kinyume cha Sheria, NECCCM wametupa pingamizi la Tundu lisu kienyeji kishetani kwa vigezo haramu, kumuona Lisu kama mtoto ni wewe peke yako na wajinga wenzako, Lakini watanzania wenye Akili timamu wanajua Lisu kawafumbua macho wengi.Si ndio maana wakasema halina maana kisheria?
Yani wamemuona Lisi kama mtoto wa chekechea tu
Wahariri wanatishwa na cyprian Musiba anayetumwa na Dr Abass na polepoleWaandishi wa habari hawamiliki vyombo wameajiriwa tu,wenye mali hawataki habari hizo zitoke wao watafanya nini?
Mtoto wa chekechea mwenye kujua katiba,sheria za uchaguzi na kanuni za uchaguzi basi huyo mtoto atakuwa ni genius.Si ndio maana wakasema halina maana kisheria?
Yani wamemuona Lisi kama mtoto wa chekechea tu
Itafika mahali tutakua hatununui magazetiHayo waandishi wanatia kichefuchefu.
Wakati huo huo yeye Musiba na magazei yake akiandika maandishi yenye kichefuchefu mwanzo mwisho dhidi ya wanaompinga Jiwe,TCRA haina meno wala macho kwa wanaokashifu wapinzani.Magazeti yanaogopa kufungiwa hakuna uhuru wa habari tena cyprian Musiba kazi yake ni kuchunguza vyombo vya habari vinavyoandika ukweli dhidi ya wapinzani kisha kwenda kuvichongea kwa mtukufu malaika tokea chato anayeishi chamwino sasa.