kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Sio kweli kaka....kila Media House inakuwa na Editorial policies zao....kipi kiandikwe na kipi kisiandikwe, mbali na hivyo yapo makosa ya kiubinadamu, lakni pia media nying za bongo kwa sasa hivi zimeacha kuchukua watu ambao ni wataaluma kwenye media na mwishoe wameanza kuwachukua watu maalufu na wenye mashabiki hata nje ya media mfn Baba levo, Swebe, Stv Nyerere na wengine wa mfano wao, so hawa hupelekea media zionekane za hovyoSiku hizi wanaosomea uandishi wa habari ni wale vilaza darasani.......
Utaskia amekosa hata journalism tu[emoji1787][emoji1787]
Sijui kama zamani pia ilikuwa hivi.
It's very unfortunately media ya Tanzania hatuna uwezo wa uchambuzi!.Kwanini matukio yote yanayotoka serikalini yanaripotiwa lakini hayachambuliwi na vyombo vyetu vya habari? Mfano, toka uteuzi ulipofanyika jana hakuna habari mpya kuhusu wateuliwa isipokuwa kile alichoripoti Msigwa. Nini Tatizo?
Nadhani ni yote mawili.Kwanini matukio yote yanayotoka serikalini yanaripotiwa lakini hayachambuliwi na vyombo vyetu vya habari? Mfano, toka uteuzi ulipofanyika jana hakuna habari mpya kuhusu wateuliwa isipokuwa kile alichoripoti Msigwa. Nini Tatizo?
Ndugu yangu Pascal Mayalla , ukizungumzia "Media ya Tanzania" unamaanisha nini!!?? Hamna uwezo wa uchambuzi au mnabanwa koo!!??Media ya Tanzania hatuna uwezo wa uchambuzi!.
Hakuna uhuru wa habari wala taarifa ya habari, wanapindisha pindisha kuiogopa serikali.Kwanini matukio yote yanayotoka serikalini yanaripotiwa lakini hayachambuliwi na vyombo vyetu vya habari? Mfano, toka uteuzi ulipofanyika jana hakuna habari mpya kuhusu wateuliwa isipokuwa kile alichoripoti Msigwa. Nini Tatizo?
Point ya kwanza ndo yenye nguvu zaidi mkuu. Yaani siku hizi ukianza kuchambua lazima uangalie hili litakuwa salama kwangu na kwa media house? So bora kureport tu mkuu.Mi naweza sema sababu ni hizi hapa
1. Freedom of expression - hii imeminywa sana kipindi hiki mpaka kupelekea watu kufanya analysis ya jambo lolote kuhusu siasa....
Basi ndio maana mnaitwa Makanjanja. Kwenye Article nisipoona jina la Jenerali Ulimwengu sisomi.It's very unfortunately media ya Tanzania hatuna uwezo wa uchambuzi!.
PVyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu
Wanabodi, Kama kawaida ya Jumamosi asubuhi, Star TV, kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, leo, chini ya nguli Dotto Emmanuel Bulendu, wachangiaji ni Moses Mathew na Mansoor. Kipindi kimeiponda media ya Tanzania kuwa vina uwezo duni wa kufanya serious IJ, uchambuzi wa kina, yaani, news...www.jamiiforums.com
Kazi ya chombo cha habari na kutoa habari kama zilivyo bila kuzipindisha. Unachoita "kuchambua" ndiko kupindisha habari, ambao ni kazi ya pundits huko spinning room, siyo kazi ya professionals walioko newsroom.Kwanini matukio yote yanayotoka serikalini yanaripotiwa lakini hayachambuliwi na vyombo vyetu vya habari? Mfano, toka uteuzi ulipofanyika jana hakuna habari mpya kuhusu wateuliwa isipokuwa kile alichoripoti Msigwa. Nini Tatizo?
Kwanini matukio yote yanayotoka serikalini yanaripotiwa lakini hayachambuliwi na vyombo vyetu vya habari? Mfano, toka uteuzi ulipofanyika jana hakuna habari mpya kuhusu wateuliwa isipokuwa kile alichoripoti Msigwa. Nini Tatizo?