Vyombo vya habari vyavamia kambi ya Simba SC

Vyombo vya habari vyavamia kambi ya Simba SC

Kwanza kwa ukubwa wa Simba ilitakiwa isafiri na waandishi wa Tanzania iwagharamie ili waweze kucover story zote za pre season hata yule zeruzure mgonjwa wa akili asingepata nafasi ya kusema Simba imecheza na
Duh!..
 
Amewekwa pale kwa ajili ya propaganda na ili aonekane anafanya kazi lazima apotoshe, kama aliweza kusema kuwa Yanga itaanza First Round kwa sababu ya Ubingwa

Huku waandishi wa vyombo vya habari wapo kimya tena wengi, itakuwa kufua dafu kwa mwandishi mmoja wa Azam TV..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Takadini ni wa kumuhurumia tyuuh.
 
MAKOLO wanataka kukata roho[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi mnajuwa kwamba hata chawa Mwijaku kila siku anaita press conference wa waandishi wanajazana?

Kazi ya waandishi ni kupata habari hapo kipi cha ajabu?

Kwanza kwa ukubwa wa Simba ilitakiwa isafiri na waandishi wa Tanzania iwagharamie ili waweze kucover story zote za pre season hata yule zeruzure mgonjwa wa akili asingepata nafasi ya kusema Simba imecheza na madereva tax wa Ismailia.
Egypt hatuna utaratibu wa machawa kuitisha press conference wala viblog vya kijingakijinga, ndiomaana hii piont yako bado haitoshi kuikashifu Simba Sc.
 
Jilisheni tu upepo, jando lenu liko palepale tarehe 13 August

Ninachopendea kambi hao ni pale wanapolala wachezaji wao.
IMG_0699.jpg
 
Back
Top Bottom