Vyombo Vya Rasmi vya Habari vya TZ, Havitimizi wajibu Wake, Njaa, Ukata, Ujinga!. Waandishi, Wamiliki Watakiwa Kujiongeza- Jicho Letu Star TV

Kweli kabisa. Watanzania tutulie tu, kama kila mmoja anajiona hawezi kupambana basi asitake wengine wampambanie... Kila mmoja anapenda abaki na familia yake,.

Kama Hatuwezi kuwapa support wana harakati basi tusiwalaumu, kwa sababu wao wanaanzisha kitu ili sie tuunge mkono matokeo yake tunawaacha peke yao na yakiwakuta magumu tunawacheka... Hatujielewi
 
Jee kwenye uchaguzi huu sisi media tumetimiza wajibu wetu.
P
 
Kilichotokea gazeti la uhuru ndio hiki nilichokizungu hapa kwenye uzi huu.
P
 
MEI 3 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari, Mimi Pascal Mayalla, kwa niaba yangu kama mwanahabari ambaye ni mwandishi wa habari huru na wa kujitegemea kwa kujitolea na kwa niaba ya kampuni yangu ya PPR as chombo huru cha habari, niwatakie wanahabari wenzangu wote, maadhimisho mema ya siku hii, huku nikidurusu, niliwahi kusema nini kuhusu uhuru wa habari kwa media zetu za Tanzania yetu.

Nawatakia maadhimisho mema ya siku yetu hii ya leo na uhuru wa habari mwema.
Paskali.
 
Kumbe uliliona mapema brother P. Sasa Ujinga ndo umezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…