johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Jaman narudia na naomba watu tusigombanishwe Na hizi dini za mapokezi tena tulizoletewa na watesi wetu (wazungu Na waarabu). Kanisa kuchangia ujenzi wa msikiti sioni tatizo, kwani mkristu akiugua akalazwa muislam hawezi kwenda kumuona hospital au vice versa...
kuna ubaya gani wakati kwenye jeshi kuna waislam pia ambao wataabudu hapo?Yaani mkuu wa majeshi ya nchii achangie ujenzi wa msikiti?
Duh maajabu ya mwaka haya.
Halafu maagizo ya Jiwe haya itakuwa kawalazimisha ila jamaa Ni hatari Sana.
Waislamu sizani kama wahitaji huu upuuzi
Baada ya Jiwe kuvurunda ndio umekuja na vimaelezo vya ujanja ujanja kujustify upuuzi uchangishe mchango wa msikiti kanisani we ndio frustration zenu hazijaisha tu.Jaman narudia na naomba watu tusigombanishwe Na hizi dini za mapokezi tena tulizoletewa na watesi wetu (wazungu Na waarabu). Kanisa kuchangia ujenzi wa msikiti sioni tatizo, kwani mkristu akiugua akalazwa muislam hawezi kwenda kumuona hospital au vice versa...
Bakwata ilianzishwa na Nyerere akisaidiana na Paulo Bomani , hakuna Muislam hata mmoja aliyeshirikiVyombo vya ulinzi na usalama vikiwakilishwa na mkuu wa majeshi General Mabeyo na wakuu wa mikoa wakiwakilishwa na RC Ndikilo wa Pwani wamekabidhi mchango wao wa ujenzi wa msikiti kwa shehe wa wilaya ya Chamwino shehe Matitu...
Hata huku kwingine muunga juhudi ni Sirro tuMabeo aendelee kula padiemu lakini sisi Makanali,Maluteni na Makapteini tunamchora tuu.
Nikikumbuka ya Mali pake Mkuu wa Majeshi na wasaidizi wake walipowekwa kwenye tenga nacheka tuuHata huku kwingine muunga juhudi ni Sirro tu