DOKEZO Vyombo vya ulinzi na Usalama taarifa hii naomba muichukulie kwa uzito mkubwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mbona wanyarwanda wote Ni watanganyika, shida ni nini, Ni unafiki wa mwingereza kumzawadia Uberigiji mkoa wa Tanganyika kwa kusaidiwa kwenye Vita ya pili ya dunia, vinginevyo leo rwanda na burundi ingekuwa Kama simiyu na geita bila shida yoyote
 
Je kwanini Idara ya Uhamiaji ya Tanzania ina sababu za msingi kuwafanyia uchunguzi wa ziada wenyeji wa Kigoma, Tabora na Kagera juu ya uraia wao ?

Kakonko, Kigoma
Tanzania

ACT WAZALENDO WALAANI WANANCHI WA KIGOMA KUONEKANA RAIA WA DARAJA LA PILI


Zitto Kabwe - Kijana Enos Elias kufa wakati akichunguzwa uraia


View: https://m.youtube.com/watch?v=uRPM_7o_GqU
ACT Wazalendo waenda kijijini kwa kijana ambako idara ya uhamiaji hawakutaka kwenda kufanya uchunguzi wa uraia wa marehemu Enos Elias, ....

Zitto Kabwe anashangazwa viongozi wa serikali ya mkoa wa Kigoma kukaa kimya, huku wananchi wa Kigoma wanalazimishwa kuwa ni raia wa Burundi
 
ACT Wazalendo Tulimtetea Philip Mpango waliposema ni mBurundi

 
App yangu haina ignore icon
 
[emoji107]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…