Naona mnavyojifariji,kati ya watu wako smart na sio wa kuchukulia poa basi ni kagame, hapa ametuma ujumbe amemute anasubiri reaction.
Ukubwa wa nchi usiwape kiburi,na vile sasa hivi usalama watu wanaingia kwa vimemo basi tusijiamini sana.
Mara nyingi nimekuwa nikiwambia kwa namna JWTZ walivyobweteka mtu unaweza kuingia zako kambini bila hata kustukiwa,nawapa pole maana sasa hivi majeshi yote wanaingia kwa kutafuta ajira tena uwe na connection na siyo uzalendo t kwa hiyo ufanisi unapungua kila siku.
ONYO.Jeshi letu ni la sita kwa ubora kwa hiyo mtu yeyote asijichanganye atajuta
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using
JamiiForums mobile app